LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
🤣🤣🤣 kwani ni mara ya kwanza kuingia Urusi, au unajizima data kipanya.tatizo sio kuingia bali utaweza kushikiria bomba.baada ya miezi miwili uje tena na hii habari yako
Tuliambiwa Ukraine hawamalizi siku 5 huko Kursk..,siku 5 zilipozid mkahamisha magoli mkasema wiki 2 ..,Leo naona unasema miezi 2 🤩😍😎
 
Urusi pia Tulitegemea atoe kichapo cha Mbwa Koko yaani Nato wajinyee kabisa..Lakini ametuangusha sana mpaka sasa vita inapiganwa Ndani ya Urusi...Hili ni aibu sana...

Kingine Urusi angeua wale wakuu wa Ukraine kama Israel inavyoua Hamas..
Yes.
Iko hivi ndugu yangu,watu tunatofautiana sana katika kuelewa,kupambanua,kuchakata na kuchambua mambo,sio kuchambua kwa watu wengine Bali kuchambua akilini mwetu.
Naamini Mimi na baadhi ya Pro Russia wengine humu hatuichukii Marekani kwa Kila kitu,Bali tunaichukia kwa baadhi ya matendo yake,na sehemu kubwa ni matendo yake katika sera ya nje ya Marekani.(US foreign policy).
Mambo Yao mengine Mimi na naamini na baadhi ya watu hata hatuna tatizo nayo.

Sasa Iko hivi,mambo ambayo tunayoyachukia kwa Marekani hatutaunga mkono Urusi ayafanye,na Urusi nayo haitaki kuyafanya mambo ambayo Marekani anayafanya.

Mfano mmojawapo ni jinsi wewe unavyotaka Urusi ifanye,ipige mabomu hovyo na kuua watu wenye hatia na watu wasio na hatia.
Urusi haitaki kufanya hivyo,na Mimi kama ikifanya hivyo sintaiunga mkono.
Mfano,USA ilipiga bomu la Atomic,(nyukilia) Japan,hii haikua sawa hata kidogo,na watu wengi wanaidharau USA Hadi Leo.
USA iliivamia na kuiharibu Iraq kwa madai inamiliki silaha za maangamizi,hapa nalaumu uharibifu mkubwa uliofanywa kwa nchi ya Iraq bila kosa lolote.
USA ilishiriki kuharibu ustaarabu katika miji ya Beirut,nchini Lebanon,USA ilishiriki kuharibu nchi ya Libya.
USA ilishiriki kupiga silaha za sumu Vietnam,USA ilishiriki kupiga mabomu na kusababisha Korea kigawanyika na kua Korea mbili pamoja na kupiga mabomu ya maangamizi.
Hiyo ni mifano michache ambayo kwa ushenzi wa USA imechangiq kuacha binadamu wenzetu kuishi maisha ya hovyo sana.
Ukiacha USA njoo middle East unaona jinsi Israel inavyo piga mabomu ya kuangamiza watu wasio na silaha ya aina yoyote mikononi.
Sasa babsi kwa mifano hiyo ndio utaona Urusi Ina uwezo wa kufanya hivyo lakini haitaki kujifananisha na USA au Israel.
Kama hujui Urusi ndio nchi inayoongoza duniani Kwa kua na akiba kubwa ya silaha za maangamizi lakini hujiulizi ni Kwa ni I haitaki kuzitumia.
Sababu kuu ya kwanza ni hiyo taifa la Urusi lina ustaarabu wake katika vita tofauti na USA nao Wana ustaarabu wao,usataarabu wa USA ni vita vya maangamizi,hawajali maisha ya watu wengine zaidi ya maisha ya watu wao TU,
Urusi inaangalia uhaibwa watu wengine pamoja na watu wao.

Sababu ya pili ni kia hii ni smo sio vita kamili, Urusi inaitambua Ukraine kama nchi ndugu Iinayogombanishwa na west,hivyo wanajizuia kutumia silaha za maangamizi.

Sababu ya Tatu Urusi haijashindwa na haijaona kitisho cha kushindwa.
Mpaka hapa hakuna dalili yoyote ya Ukraine kumshinda mrusi,ni kwelianafanya vijimashambulizi vya kushiitukiza na kuleta vijimadhara lakini sio madhara ya kuishinda Urusi kijeshi tofauti na Ukraine inayopewa full support na NATO, Ukraine inaelekea kushindwa.
Wataalamu wote wa west na eaatwanasema kuvamia Kursk hakuta na hakuja isaidia chochote Ukraine kubadili mwenendo wa vita kuifaidisha Ukraine.
Hapa hata Putin mwenyewe alishatamka na hata NATO wanajua na Dunia inajua kua pale ambapo Urusi itaona usalama wake uko hatarini haitasita kutumia silaha za maangamizi (Nyukilia).
Mwisho kabisa tabia mbaya za Marekani tunazozikataa hatutazikubali Urusi akizifanya.
Lakini pia ni udhaifu sana Kwa taifa kubwa kama Urusi kufikiria au kuanza kufikiria kutumia silaha za maangamizi kwa nchi ya Ukraine,ni mapema mno.na ni udhaifu mkubwa sana,huu ulikua ni udhaifu wa Marekani katika vita zake,sio udhaifu wa Urusi.
Urusi kaimudu vita hii ambayo kwa jicho la nje inaonekana anapigana na Ukraine lkn, Kwa jicho la ndani ni kweli anapigana na NATO.

USA kwa nje inaonekana ni tough lkn Kwa ndani hakika ni dhaifu.
USA ilipiga bomu la nyukilia kwa Japan,USA akisaidiwa na west wote mwaka juzi kashindwa vita na watalaban ambao hawakua wakisaidiwa na nchi yoyote hapa duniani.
USA alipigwa Hadi na Wanamgambo wa kisomali huko somalia.
Ni mapema mno kwa Urusi kuipiga Ukraine bomu la maangamizi,itakua aibu kubwa.

Atomic bombings of Hiroshima and Nagasaki

On 6 and 9 August 1945, the United States detonated two atomic bombs over the Japanese cities of Hiroshima and Nagasaki. The bombings killed between 150,000 and 246,000 people, most of whom were civilians, and remain the only use of nuclear weapons in an armed conflict. Japan surrendered to the Allies on 15 August, six days after the bombing of Nagasaki and the Soviet Union's declaration of war against Japan and invasion of Japanese-occupied Manchuria. The Japanese government signed the instrument of surrender on 2 September, effectively ending the war.

Marekani tuanedhania ni superpower aliweza kukimbia kipigo Afghanistan,Tena akisaidiwa na NATO na west wengine.
Kibaya zaidi hakuna anapigana na Afghanistan mzima,Bali na kikundi Cha watalaban.
Haya chini ni maneno ya Gen wa kimarekani,sio maneno yangu.

US 'lost' the 20-year war in Afghanistan: top US general
Washington (AFP) –

The top US general conceded in a stark admission on Wednesday that the United States "lost" the 20-year war in Afghanistan.

"It is clear, it is obvious to all of us, that the war in Afghanistan did not end on the terms we wanted, with the Taliban in power in Kabul," General Mark Milley, chairman of the US Joint Chiefs of Staff, told the House Armed Services Committee.

"The war was a strategic failure," Milley told a committee hearing about the US troop pullout from Afghanistan and the chaotic evacuation from the capital Kabul.

"It wasn't lost in the last 20 days or even 20 months," Milley said.

"There's a cumulative effect to a series of strategic decisions that go way back," said the general, the top military advisor to President Joe Biden, who ordered an end to the 20-year US troop presence in Afghanistan.

"Whenever you get some phenomenon like a war that is lost -- and it has been, in the sense of we accomplished our strategic task of protecting America against Al-Qaeda, but certainly the end state is a whole lot different than what we wanted," Milley said.

"So whenever a phenomenon like that happens, there's an awful lot of causal factors," he said. "And we're going to have to figure that out. A lot of lessons learned here."

Milley listed a number of factors responsible for the US defeat going back to a missed opportunity to capture or kill Al-Qaeda leader Osama bin Laden at Tora Bora soon after the 2001 US invasion of Afghanistan.

He also cited the 2003 decision to invade Iraq, which shifted US troops away from Afghanistan, "not effectively dealing with Pakistan as a (Taliban) sanctuary," and pulling advisers out of Afghanistan a few years ago.

Biden, in April, ordered a complete pullout of US forces from Afghanistan by August 31, following through on an agreement reached with the Taliban by former president Donald Trump.

Milley and General Kenneth McKenzie, commander of US Central Command, told a Senate committee on Tuesday that they had personally recommended that some 2,500 troops remain on the ground in Afghanistan.

White House press secretary Jen Psaki said Biden had received "split" advice about what to do in Afghanistan, which the United States invaded following the September 11, 2001 Al-Qaeda attacks on New York and Washington.

"Ultimately, it's up to the commander-in-chief to make a decision," Psaki said. "He made a decision that it was time to end a 20-year war."
 
JamiiForums Huu upuuzi mna entertain kwa manufaa ya urusi au ukraine? Kwanini hakuna nyuzi za yanayoendelea Tanzania? This is a slave mentality and pyscho symptoms.

Mnajadili kwa wingi ya wenzenu wakati yenu yanawasumbua. How comes this is allowed to happen wakati tukianzisha nyuzi tukibweka mnazifuta?

Maxence Melo Paw Abrianna JamiiForums mnatuchezea au?

Tulikua na nyie kule Kisutu daily ila hamjali mnaendekeza upuuzi eti threds zina trend ni za mataifa mengie wakati sisi huku mapinjii wanasanya tu, au mko kwa mgao?

Maxence Melo usiendekeze hizi mambo. Ni sawa we need to know about international issues ila iso kuuweke eti special thread wakati vile vinaendelea hata hap ground zero hamuvipei uspesho wowote.

Ban me, kick me out but today is the day I got fed up with this shit.
 
Chukua soda nakuja kulipa☺️
 
Kursk Region
Russian Forces liberated Spalnoe

View: https://x.com/thrsts_/status/1825842464596340770?t=cXLDzou-8GUjF05okTodKg&s=19

20240824_154147.jpg
 
President Volodymyr Zelensky signed a bill on Aug. 24 banning activities of religious organizations connected to Russia.
 
JamiiForums Huu upuuzi mna entertain kwa manufaa ya urusi au ukraine? Kwanini hakuna nyuzi za yanayoendelea Tanzania? This is a slave mentality and pyscho symptoms.

Mnajadili kwa wingi ya wenzenu wakati yenu yanawasumbua. How comes this is allowed to happen wakati tukianzisha nyuzi tukibweka mnazifuta?

Maxence Melo Paw Abrianna JamiiForums mnatuchezea au?

Tulikua na nyie kule Kisutu daily ila hamjali mnaendekeza upuuzi eti threds zina trend ni za mataifa mengie wakati sisi huku mapinjii wanasanya tu, au mko kwa mgao?

Maxence Melo usiendekeze hizi mambo. Ni sawa we need to know about international issues ila iso kuuweke eti special thread wakati vile vinaendelea hata hap ground zero hamuvipei uspesho wowote.

Ban me, kick me out but today is the day I got fed up with this shit.
Chalii wetu hili ni jukwaa la kimataifa.

Nyuzi za kutekwa watu zipo kwenye majukwaa mengine ya nyumbani...unachokifanya hapa ni sawa na uingie porini uulize kwanini Simba wanaishi humo badala ya kuishi mjini wakati unajua kabisa Simba makazi yake ni porini
 
Back
Top Bottom