ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Chaliifrancisco kuna ujumbe wako hukuu😂Nendeni kwenye jukwaa la mapenzi huku mnatuchafulia international forum yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chaliifrancisco kuna ujumbe wako hukuu😂Nendeni kwenye jukwaa la mapenzi huku mnatuchafulia international forum yetu
Mkuu, na mimi naandika kwa tahadhari sana ninapoizungumzia RUssia, Russia ni taifa kubwa inafahamika vema
Hata hivyo, Russia hawezi kushindana na nguvu za NATO hata iweje, na ijulikane kwamba, NATO bado haijaingia Russia kiwaziwazi mkuu
Itakapofikia rasimi NATO ameingiza miguu yote, Nakuhakikishia kwamba, Putin watamnyonga kama USA walivyofanya kwa Sadamu
Ni nani aliyeamini kwamba Ukraine anaweza kuvuka mipaka yake na kuingia moja kwa moja ndani ya aridhi ya Russia?
Tuupe muda ujitetee, kusema moja kwa moja itakuwa hivi, ni mapema mno mkuu Bwana Utam am
Alishaweka Cuba usa Kila siku akawa anahaha na juzi kapeleka Manowari ona alivyohangaikaHivi wanaoshabikia USA mbona hawajibu hili kwali kwamba je URUSI angepeleka kambi za kijeshi karibu na mipaka ya WASHINGTON je USA angekubali?
Mwambie huyo akipimwa kwenye mizani na mimi atapelea atulie tu. Mimi ni heavy weight. Polymath. Sui generisChaliifrancisco kuna ujumbe wako hukuu😂
Wachambuzi wengi sana wa vita hii hua mnasumbuliwq sana na utoto.Yamkini Russia ameshatumia uwezo wake kwa zaidi ya 80% dhidi ya Ukraine. NATO mpaka sasa sioni kama imeshatumia hata 40% ya uwezo wake kumpa Ukraine. Kusema kwamba Russia anaweza kutunishiana misuli na NATO huko ni kuikosea NATO.
Alishaweka Cuba usa Kila siku akawa anahaha na juzi kapeleka Manowari ona alivyohangaika
Mpaka sasa hivi wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 5,000 wameshazika hapo Kursk mass Graves, supply chains ya silaha, vyakula katika front line imeshakatwa, hivyo wanajeshi wa Ukraine na NATO walioko kursk watajifia uko mbele au kusalimu amri.It is reported by Ukrainian sources that the village of Troitske in the direction of Kursk came under the control of the Armed Forces of Ukraine. Hard fighting between Ukrainian special forces and the Wagners continues. Dozens of Wagners have been dead since this morning.View attachment 3074214
Mkuu, vita ni mbinu bora, askali bora, vita ni akili, mikakati. uwezo wa kifedha, uwezo vifaa vya kisasa vya vita n.k. Kwa uju.mla vita havitaki hasira bali mikakati yenye UMAKINI. Ona sasa Putin amekuwa Mpole anaona bora liende.Kuna hoja za ki form six zinaendelea hapa . US angeweza kupambana na mataifa makubwa 50? Chini ya vikwazo lukuki ? NATO ni kundi kubwa sana lingeingia live mwanzoni waone moto. Hao west wakifa askari mia saba tayari maandamano wasingeweza
Wanajiona wao wanaweza kufanya Kila kitu lakini wao hawataki wengine wafanye.Sasa kwanini pro usa wanataka urusi yeye akae kimya amchekeechekee zele wakati ni snitch na lengo ni kuizunguka moscow?
Ajabu sana hiiWanajiona wao wanaweza kufanya Kila kitu lakini wao hawataki wengine wafanye.
Tayari madaraja ya Muda yameshatandikwa NATO na Ukraine soldiers wanapata kichapo kikali , yaani NATO na Ukraine soldiers ni kama wako kwenye banda la kuku, hawatoki, chini artillery na machine kali za AK 47, juu Fighter jets SU-34, na drones majeshi ya NATO na Ukraine hawana pa kujificha maana ni sehemu ya mashamba ya ngano na misitu tu.Madaraja yote ya kutumia kukimbia kipondo Cha vijana wa zelensiky yamebomolewa huko Kursk..,waombeeni warusi maana hawajui wanapitia njia ngani kuepuka mkong'oto!
Seim River in Kursk, the third bridge was destroyed by the Ukrainian Defense Forces.View attachment 3074208
Wapigeni pumbuh tu.Nendeni kwenye jukwaa la mapenzi huku mnatuchafulia international forum yetu
NATO na USA hawamwezi Russia, Russia ana makombola zaidi ya 6000+ ya nyukilia wakati huo NATO na USA wanamakombola 5000 combine, hivyo NATO na USA kuivamia Russia hiyo suicide mission hakuna mtu wa kusalimika uko Ulaya na Marekani. Ukiongeza na makombola 1000 ya China, hapo NATO na USA watakuwa wanabweka tu. Tayari Russia ameshatega makombola yake kwenye miji mikuu karibu yote ya NATO na USA, ndo maana juzi kati Putin alikuwa anasema NATO wanapofanya upuuzi wao waangaliye population ya miji mikuu yote ya Ulaya NATO na USA maana hakuna mtu wa kusalimika.Yaani nyie pro USA na NATO sijui hua ni utoto au kutokua na ufahamu wa kutosha wa Geopolitics ndio hua unawasumbua!?
Hapa ukweli umeongea kitoto mno,hoja Yako imekosa weledi na urali.
Hivi Kwa akili za kitoto kabisa ,hasa watoto wa darasa la sita au la saba wanapojadili mada hii hawawezi kutoa ulinganifu dhaifu kama wako.
Hivi kweli mmawezaje kulinganisha Nchi dhaifu kijeshi ya Iraq enzi za Sadam Husein dhidi ya nchi za NATO?
Kweli mtu umemaliza hata form four TU katika Discussion hawezi kulinganisha Iraq na NATO.
Nchi ya Iraq kuilinganisha na NATO hakiwezi kutoa majibu sahihi kua NATO ni umoja wenye nguvu za kijeshi Bora kabisa hapa duniani,kwa sababu Iraq ni nchi dhaifu sana ,wala haikua inaunda silaha zake zaidi ya ku modify vikombora vichache kutoka Urusi.
Waliweza kumodify kombora la kizamani la USSR la Scud B na kuliita El Abbas na jingine El Hussein, na vijisilaha vingine vidogo vidogo.
zaidi ya hapo Iraq hawatengenezi silaha.
Iraq hawakua na mfumo wa maana wa ulinzi wa anga ,hawakua na navy ya maana,wala airforce ya maana kuweza kulinganisha na airforce,navy na ground forcces ya NATO.
Hebu fikiria vizuri wewe mtoto, USA ambayo nyinyi mnaamini ndio number one super power inatengeneza Kila aina ya silaha hapa duniani na silaha nyingine ambazo hata nchi nyingine hawana,hebu fikiria nchi kama UK, German na nchi nyingine zote za NATO Kwa wakati huo huku ukiiondoa ufaransa ambayo haikuenda vitani pamoja na NATO,zitazame nchi hizo uwezo wao wa kuzalisha silaha na uwezo wao kijeshi kisha zilinganishe na Iraq ndio mtajua kua nyie ni watu wa aina Gan.
Leo hii NATO kupata ushindi dhidi ya nchi kama Iraq hii ni aibu kubwa mno.
Kumbuka Iraq haikua ikisaidiwa na nchi yoyote hapa duniani.
Hoja ya pili katika makala Yako ni kuilinganisha NATO na Urusi.
Hoja hii moja Kwa moja inaipa ukuu na heshima kubwa mno Urusi.
Na hoja hii ndio inatufungia mjadala wetu juu ya nani zaidi kati ya Urusi na USA.
Nadhani nyie pro NATO wote humu hua mnaipa Urusi heshima kubwa mno kwa kuilinganisha na NATO.
Kwa sababu nyote humu na sehemu nyingine duniani hua mnasema USA ndio superpower Sasa kama super power wenu peke yake hawezi kukabiliana peke yake na Urusi mpaka awe na ushirikiano na nchi nyingine kubwa kijeshi duniani za ulaya ambazo ndio zinaunda umoja wa NATO, basi maana yake huyo superpower wenu haiwezi Urusi akiwa peke yake.
Haya sio maneno yangu Bali ni maneno Yako wewe mwenyewe hapo juu,umesema kua NATO wakiingia vitani kamili dhidi ya Urusi basi Urusi itapigwa na Putin atanyongwa kama Sadam Husein.
Hapa wewe mwenyewe unakili kwa kinywa chako kua hakuna nchi moja ya ulaya Magharibi peke yake inaweza kuishinda Urusi peke yake bila kushirikiana na nchi nyingine zinazounda umoja unaoitwa NATO.
Kwamba hata super power wenu USA hawezi kuishinda Urusi bila nchi nyingine zinazounda NATO.
Hii ndio tafasiri ya hoja zako.
Mimi nilitarajia ungesema kua USA akiingia vitani na Urusi USA itaishinda Urusi na kumnyonga Putin.
Hapa Kwa maana nyingine umemaanisha kua Urusi moja inaweza kushindwa na nchi 32 pekee.
Nchi moja peke yake haiwezi kuipiga Urusi.
Labda nikuambie kitu Cha mwisho hapa unqpoona sio NATO pekee inayokabiliana na Urusi,Bali ni all collective west,sio TU wanapeleka silaha,Bali pia wameiwekea vikwazo ili idhoofike kiuchumi ishindwe kugharamia vita.
je kwa akili Yako wewe unavyoona Urusi hii ya Putin Hadi tarehe hii ya Leo imeshindwa kugharamia vita baada ya kuwekewa vikwazo?
Unajua kua USA akitaka kupitisha ajenda yake hashindwi?
alikataliwa na UN kua Iraq isipigwe kwa sababu Haina WMD lakini kwa ubabe USA wakaenda kumpiga.
Sasa kwa Nini wasimpe Ukraine uanachama wa NATO kibabe kisha wapate sababu ya kuingia vitani kama NATO, ili kumpiga Urusi?
Kumbuka Kuwait na Kosovo hazikua Wanachama wa NATO lkn NATO walizipigania.
Hata Iraq na Libya zilipigwa na NATO.
Lakini pia napenda nikuambie kua,wanajeshi wa NATO wanashiriki vita hii Kwa jina la marcenaries(mamluki) je wamebadilisha Nini.?
Mfano mwingine NATO waliweza kuyaangusha makombora na droni za Iran zilizokua zinaelekea kuipiga Israel,lakini zelensky kawaomba na kuwasihi waweke No fly zone wamekata alipoona Israel imepata huduma hiyo akawalaumu sana alisema kwa Nini mnatubagua sisi Ukraine mbona Israel mmeipa huduma ya kudungua makombora yaliyopigwa na Iran?
Jibu ni kwamba Urusi sio sawa na Iraq wala sio sawa na Iran.
Ila napenda nikuhakikishie kua Urusi nae ana washirika ambao NATO wakiingia hawatakaa wakitazama,nao wataingia kuisaidia Urusi.
Ni akina nai hao? Mimi sijui ila wapo.
Je vita itakuaje?
Mimi sijui.
Tafakari.
Nenda kawaokoeHuwa nawaona ni wapumbavu nyie wote mnaojadili kuhusu Ukraine na Urusi au Irsael na Palestina bila kuchoka halafu ndugu zenu wanatekwa tu hovyo na kupotea hovyo wala hamjadili. Nyie ni mambwa tu wakumbafu nyie.
Takakata ephen_