zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Woyoooo kazi iendelee⚡️The flag of the DPRK appeared near the recently occupied Tsukuryne area on the Pokrovsk direction together with the Russian flagView attachment 3132272
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyoooo kazi iendelee⚡️The flag of the DPRK appeared near the recently occupied Tsukuryne area on the Pokrovsk direction together with the Russian flagView attachment 3132272
Zelenskyy said following a meeting with military leadership.
"Kursk operation. We are maintaining our positions and preventing the enemy from expanding the war on our land,"
Duh,Tuwaombeeni warusi ndugu zangu.., wanachinjwa Kwa wingi mno.., north Korea ametuma wapiganaji lakini Hali bado ngumu View attachment 3127587
Jifunze kuukubali ukweli hata kama unauma,habari yako umeileta kipropaganda zaidi.The leaders of Brazil and Cuba both canceled their attendance
Pale moto unapokuwa wa moto, unafanyaje sasa? Anyways, come November 5, lazima Zelensky na Putin wazichange kwenye meza moja ya mazungumzo.![]()
Russia detains 18 North Korean soldiers who left positions in Kursk Oblast, source says
Russian authorities detained 18 North Korean soldiers who abandoned their positions in Russia's Kursk Oblast, a military intelligence source told the Kyiv Independent on Oct. 21.kyivindependent.com
Russian authorities detained 18 North Korean soldiers who abandoned their positions in Russia's Kursk Oblast, a military intelligence source told the Kyiv Independent on Oct. 21.
Kazi inaendelea pia huko Kursk 🔥😍🤩Woyoooo kazi iendelee
Ukraine's Armed Forces progressed in Kursk Oblast, while Russian military bloggers claim new Ukrainian attempts to breach the border and conduct a mechanized assault on Russian territory.Jifunze kuukubali ukweli hata kama unauma,habari yako umeileta kipropaganda zaidi.
Brazil's Lula cancels BRICS trip to Russia after minor brain hemorrhage
October 22, 20244:58 AM GMT+3: Updated 13 hours ago
Cuba grid collapses again raising doubts about a quick fix
October 21, 202412:09 PM GMT+3: Updated 19 hours ago
Hakika mkuu, binafsi Leo nimemuhurumia sana alipokuwa Akio gea kwenye mkutano wa bricks,jamaa anapewa nafasi ya kuongea Hana uhakika wa kile atachoongea,anatetemeka tu,Duh,
Putin anatia huruma
Ndiyo sababu na tec piaNahisi wanaogopa North watakuja na uzoefu wa vita.
Nimeshakuambia jifunze kuukubali ukweli hata kama unauma! Ukweli ni kwamba Urusi anasonga mbele zaidi huko mashariki ya Ukraine.Ukraine's Armed Forces progressed in Kursk Oblast
....progressed in Kursk...
southfront.press
pia huko Kursk



naomba kuuliza hivi hawa mateka wa vita wakisha badirishwa kama hivi wanarudi vitani ama wanabaki kufanya kazi za kijeshi huko makambini na sio kwenda mstari wa mbele tenaDuh! Propaganda zinakusaidia nini ndugu!View attachment 3131462