Poland yenyewe hapo hata g100 ila kiherehere chake tuNi kierere tu utafikiri urusi amewaomba na g7 yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poland yenyewe hapo hata g100 ila kiherehere chake tuNi kierere tu utafikiri urusi amewaomba na g7 yao
If you can't defeat them join themTrump kaamua kuwa upande wa Russia
Kabisa mkuuIf you can't defeat them join them
Wahuni wanasema "Europe mbele ya Marekani ni Afrika iliyochangamka"Bila shaka umeielewa kauli ya “nothing about Ukraine without Ukraine”. Na pia ulisikiliza hotuba ya Germany Chancellor Olaf Scholz akijibu hotuba ya US VP JD Vance kule Munich kuweka msimamo wa Ujerumani na EU kwa ujumla.
Huko kursk wana advance kurudi nyuma labdaUkrainian forces advanced in Russia’s Kursk Oblast and near Kurakhove, while Russian troops pushed forward in Vovchansk, Lyman, and Pokrovsk, the Institute for the Study of War reported on Feb. 14.
Loading…
english.nv.ua
Huo ndo ukweli baba kasema , watoto mtanuna mtasema mwisho wasiku mtamsikiliza na kutekeleza matakwa ya baba, nchi za EU ni makoloni ya Marekani Hayana say mbele ya USA. Hawawezi kubishana na baba yao.Tujipe muda ila nakuhakikishia EU na NATO hawana sera ya mambo ya nje huru, always watacheza ndani ya mfumo na matakwa ya USA.
Thread unakimbia balaa wakulungwa,vipi huko? Maana nasikia Ile mbuzi ilisaini kutozungumza na URUSI sasa hivi Ina mlilia Putin amhurumie🤣
Mliambiwa Russia ni war machine mkakaza shingo, ona sasa mnakosa maneno ya kuwaambia wananchi wenu.
Team Russia tunashukuru malengo ya SMO yametimia, ndugu yangu kipanya sijui atakua na Hali gani saivi.Dah Ukraine!
sijui wamekutwa na Nini!
Sijui ni mikosi,!
sijui ni kua na kiongozi Mjinga!
au sijui ni mpango wa mungu!
Au walidanganywa!?
Ona Sasa:-
-wanalazimika kutoa madini Yao kwa USA bila faida ambayo yangewaletea utajiri kwa ajili ya malipo ya silaha,
-Vita wamepoteza,
-Askari wao wamekufa bila faida,
-Eneo lao kubwa limechukuliwa na Urusi,
- hawatakaa wajiunge na NATO milele.
Richard Kemp ni pacha wake kip kipanya44Huyu ni mtu mmoja, ndani ya mwezi mmoja
View attachment 3236771
Ila umepotea sana mwambaTeam Russia tuna Kila Sababu ya kugonga cheers 🍷
Why do I get the impression that these guys are simply politicking having already decided everything they actually want?Kwa kifupi ni kwamba EU wamechanganyikiwa.
Lakini kiuhalisia hii ndo New World Order in process.
Sasa Macron kaamua kujipa jukumu la kuongoza kikao cha dharura kinofanyika kesho jumatatu kama kiongozi wa muda au twasema “de facto leader”.
Tusubiri matokeo ya kikao hicho jijini Paris.
Ila bara la Ulaya limetikiswa kwa sasa.