Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili lipo wazi tangu babu yako hajazaliwa... Kama ndio unajua leo basi una ubongo mdogo sanaKuna kitu nimejifunza kuhusu Wazungu na USA 🇺🇸 hawa jamaa ni maslahi hawataki ujinga.
LoosersViva Ukraine
Loosers ya nyokoLoosers
Ndo maana mnafukuzwa ovyoovyo hamna akili mpaka superpower no 1 anaona nyie ni loosers tuLoosers ya nyoko
Yaani Rais wa Nchi Unaambiwa
Kaa kimya Yaani ki Bongo bongo
(FUNGA BAKULI LAKO)
View: https://x.com/IranObserver0/status/1895534085029982377?t=u2dEnipIdOWWHfz9k9DKrg&s=19
Mm ni proRussia lakini Trump alicho mfanyia Zelenskyy siyo sawa kabisa na ni dharau iliyo pitiliza.Zele kamuweza Trump, kamdindia, wacha tuone nini kinafuata baada ya hii ya leo, je ndo mwanzo wa mashambulizi yasiyo na kikomo au mapinduzi ya Zele?
Siku nyingine watakafungia chooniDah Trump fala sana kamdhalilisha sana Zelenskyy kiongozi wa nchi hatakiwi kufanyiwa haya kwakweli.
Waafrika ndio hasa tumeonja joto la jiwe kutoka Marekani lakini unashangaa mashoga wanaiona Marekani kua ni mtetezi wa hakiKwani hakusomeshwa simulizi za chief mkwawa na wengineo
Zelensky kakosa leverage mkuu, ni huzuni lakini hakuna namna.Sijawahi ona mpambano kati ya maraisi kama leo. Zelensky (a boy) anakoroma mbele ya mabwana zake
Hapa Anaulizwa Itakuwaje kama Bom litalushwa Na kulipukia Kichwa chako Muda huu!!
View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1895536812111905197?t=qwPecjq-j0WYNwsuwmcxXQ&s=19