Wewe mwenzetu una uelewa WA kiwango kipi. Tuanzie hapo kwanza.Yaani wewe huna uelewa wa siasa za ndani (kitaifa) mpaka na za nje (kimataifa).
Hii ni ajabu kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenzetu una uelewa WA kiwango kipi. Tuanzie hapo kwanza.Yaani wewe huna uelewa wa siasa za ndani (kitaifa) mpaka na za nje (kimataifa).
Hii ni ajabu kubwa.
Hizo 74 zililenga Moscow pekeeKipanya kaleta habari ya drone 337 kudunguliwa katika mikoa 10 tofauti. Wewe unasema 74 tuamini lipi?.
Kumbuka karata muhimu aliyoipata Ukraine ni kwamba military aid and intelligence are resumed!Binafsi Kwa mawazo yangu hili la ceasefire 30 days nsliona likija na surprise nyingi Kwa Russia kama watakubali. Lazima tukubaliane US haijawahi kuwa na sera laini dhidi ya Russia . Wameishaihujumu Russia vya kutosha Kwa vikwazo na usaidizi wa kijasusi Kwa maadui kupitia satellite , starlinks nk.
Leo Russia ni Moja ya nchi yenye vikwazo vingi vya kiuchumi kuliko nchi zote zilizowahi kutokea. Vikwazo wanavyo but pamoja na usaidizi wa US Frontline ilikuwa on their favour.
Ceasefire hii ni kumaanisha hata askari wa Ukraine waliopo Kursk wasipigwe tena. Waendelee kuwa hapo. Naiamini Urusi haitakubali danganyatoto hii.
Mkuu kumbuka kwa makubaliano haya , military aid and intelligence for Ukrain resumed!And US & Ukraine know it.
Kumbuka kwa makubaliano haya., military aid and intelligence for Ukrain resumed!The proposal, apart from rare minerals, includes a clause forcing Zelensky to immediately hold elections or opt to step down. Have you heard that?
Kumbuka kwa makubaliano haya, military aid and intelligence for Ukrain resumed!Kutokea vita kati yao ni ngumu, sababu kwa sasa U.S anataka kupambana na china kiuchumi.
Russia ikiwa dhaifu inamaana itaongeza utegemezi kwa China, na hawezi kukubali Alliance ya two Nuclear power.
Kumbuka kwa makubaliano haya., military aid and intelligence for Ukrain resumed!⚡Russian State Duma Deputy Sobolev:
The US will rearm Ukraine in 30 days of ceasefire and start the war anew - Russia will not go for it.
I think that this is completely unacceptable. Some kind of temporary ceasefire. A temporary truce, the president also spoke about this, is unacceptable.
Kumbuka kwa makubaliano haya., military aid and intelligence for Ukrain resumed!Urussi na USA wamesha kubaliana kwa siri .....marekani asinge taka huo mkataba uku anajua kuwa ukrain yote itaanguka mikononi mwa urusi hivyo marekani na urusi wamukubaliana kugawana nyara..na kumwondoa Zelensky madarakani wakiwa na mkataba tayari
Hili ndio zao muhimu alilopata Ukraine kwenye haya makubaliano!US resumes intelligence and military aid to Ukraine
Support was unblocked after Kiev agreed to Washington’s idea for an “immediate” 30-day ceasefire with Russia
Urusi wakikubali hili nitapoteza imani nao.... Huu ndio ule wakati wa kupiga kichwa cha nyoka baada ya nyoka kuonekana anapoteza uhai.Binafsi Kwa mawazo yangu hili la ceasefire 30 days nsliona likija na surprise nyingi Kwa Russia kama watakubali. Lazima tukubaliane US haijawahi kuwa na sera laini dhidi ya Russia . Wameishaihujumu Russia vya kutosha Kwa vikwazo na usaidizi wa kijasusi Kwa maadui kupitia satellite , starlinks nk.
Leo Russia ni Moja ya nchi yenye vikwazo vingi vya kiuchumi kuliko nchi zote zilizowahi kutokea. Vikwazo wanavyo but pamoja na usaidizi wa US Frontline ilikuwa on their favour.
Ceasefire hii ni kumaanisha hata askari wa Ukraine waliopo Kursk wasipigwe tena. Waendelee kuwa hapo. Naiamini Urusi haitakubali danganyatoto hii.
Meaning? Possibly a gamechanger or what?Mkuu kumbuka kwa makubaliano haya , military aid and intelligence for Ukrain resumed!
Kwa hiyo Shambulio la drones ni kwa msaada wa watunwa Marekani Wala si ujanja wa Ukraine Army!!!Hili ndio zao muhimu alilopata Ukraine kwenye haya makubaliano!
Russia ameishasema, hataki ceasefire za muda au za kihuni anataka tatizo litatuliwe jumla"If we can get this [ceasefire] from Russia, that would be great. If not, we're just going to keep having this and a lot more people are going to die."
Urusi watakubali coz hii ceasefire haina muda wala tarehe wa kuanza ila ina muda kamili wa kukamilika. Wataendelea na operesheni mpaka watakapokubaliana kuanza hii ceasefire.Binafsi Kwa mawazo yangu hili la ceasefire 30 days nsliona likija na surprise nyingi Kwa Russia kama watakubali.
Kwa exchange ya rasilimali za nchiMkuu kumbuka kwa makubaliano haya , military aid and intelligence for Ukrain resumed!