SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

Ni launcher inaitwa Ap15 play store IPO Ila utakosa baadhi YA vitu so nilichukua premium from Acmarket
Asee imetulia sana,vitu complicated ndo vinafaa mdau akishika sim yako ashangae kwanza
Hii ni custom launcher au custom rom?
 
IMG_1394.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndio iphone ya kwanza kuonekana kwenye huu uzi safi sana
Mkuu Ungefanya kujailbreak kidg ukafanya customization

nitajaribu mkuu
hua muda mwingi siitumii ndio maana hata haina mambo mengi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jury naiomba hii naipata vipi iko niema xna kwa xiaomi naona
Hapo kwenye iyo setup kuna custom icon pack ambayo inaitwa RedLine Icon Pack LineX MKBHD download toka google pamoja na custom dark theme kama hujaroot simu basi evie laucher inatosha pia app ya kwgt imetumika kutengeneza izo widgets ipo play store
 
Back
Top Bottom