Special threads~Tafuta kazi Tanzania

๐ŸŽคNAFASI YA KUFUNDISHA

ANAHITAJIKA mwalimu
WA SOMO LA English na literature KWA KUJITOLEA KATIKA SHULE YA SEKONDARI ,ILIYOPO MUFINDI- IRINGA

POSHO NI 180,000/=PER MONTH
Contacts
0753887223
 
๐ŸŽคMUJUMUZI GOLDEN BRIDGE SECONDARY SCHOOL
Location: Katoke, Muleba - Kagera
Inahitaji: Mwalimu wa Geography na Biology
Salary: 300,000/=
Makazi yanapatikana

Mawasiliano: 0785 992 289 NOTE: Kama uko tayari, hata sasa hivi unaweza fika shule kwa ajili ya interview.
 
Bongo bado hatuja fikia kutafuta kazi, bongo unapaswa kufanya uamuzi wa kufanya kazi na sio kutafuta
 
๐ŸŽคWanahitajika MADEREVA wa TRANSIT

Vigezo vya awali
  • Leseni na Vyeti vya udereva.
  • Uzoefu na SAFARI ZA NJE
  • Passport ya kusafiria.

Piga +255 717 833 094 kwa maelekezo zaidi.
 
๐ŸŽคAnahitajika kijana wa kiume mzoefu wa kuchoma chips na kuuza
Malipo kwa siku 4000
Location zanzibar
kupumzika kwa wiki mara moja
.piga simu 0712975452 .kama siyo mzoefu usipige simu tafadhali
 
๐ŸŽคAnahitajika mdada anayejua kusuka nywele vizuri
saloon iko majengo dodoma
0788960598
mshahara maelewano
 
๐ŸŽคANAHITAJIKA PHARM TECH DISPENSER AU PHARM ASSISTANT KUFANYA KAZI DLDM
LOCATION DODOMA KONDOA
POSHO MAELEWANO
KULA KULALA JUU YA BOSS
MAWASILIANO:+255682287011
 
๐ŸŽคkijana wa KIUME wa kuuza vinywaji BARIDI na awe anajua KUTENGENEZA JUICE YA MIWA.

NOTE
awe anakaa Kipawa, Kigogo, Kwa Mbiki au Pugu.
simu no.
0714446670
 
๐ŸŽค๐ŸŽค TANGAZO LA KAZI โ€“ DUKA LA DAWA
๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ Anahitajika: Dispenser au ADDO mwenye uzoefu wa kuuza duka la dawa
๐Ÿ“ Eneo: Bagamoyo โ€“ Kerege
๐Ÿ›๏ธ Chumba cha kulala kipo
๐Ÿฝ๏ธ Chakula kinatolewa
๐Ÿ’ฐ Mshahara: 120,000/=
๐Ÿ“ž Wasiliana na: 0620726628
 
๐Ÿ“ข TANGAZO LA KAZI โ€“ PHARMACY
๐Ÿ’Š Nafasi: Pharmaceutical Technician
๐Ÿ“ Eneo: Geita
โœ… Sifa: Awe amesajiliwa na Baraza la Famasi (Pharmacy Council)

๐Ÿ“ž Mawasiliano: 0764 208 114

โšก *Fursa hii ni ya haraka โ€“ wasiliana sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ