yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
ZBC wanaonyesha mkuu...ila nadhani live stream kwenye Youtube itakuwepoLink hamna jaman tutazame
hahahahahahahahaha..............waacheni vijana wapate uzoefu wa international gamesYaani leo ni balaa, sijui ni kwanini hatukujitoa tuu kwenye haya mashindano!
Wale wote wa kimataifa wameendelea kugoma hadi walipwe?.Hii hatari kubwa.Kikosi cha Yanga dhidi ya USM Alger, mchezo wa kwanza katika hatua ya makundi ya Kombe la Shrikisho Afrika
1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Gadiel Michael
4. Abdallah Shaibu 'Ninja'
5. Andrew Vicent 'Dante'
6. Said Juma
7. Juma Mahadhi
8. Raphael Daudi
9. Yusuph Mhilu
10. Pius Buswita
11. Geofrey Mwashiuya
Kikosi cha akiba
12. Ramadhani Kabwili
13. Juma Abdul
14. Haji Mwinyi
15. Pato Ngonyani
16. Emmanuel Martin
17. Yohana Mkomola