Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

yamindinda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
1,581
Reaction score
1,318
Kombe la shirikisho la afrika,caf confederation cup leo hii
2199.png
2199.png
23ec.png

Usm alger vs Yanga sc
Muda saa 22:00 pm EAT
27a1.png
➡ live on ZBC 2
Kila la heri yanga.[HASHTAG]#naipenda[/HASHTAG] yanga
Daima mbele nyuma mwiko
upload_2018-5-6_20-52-43.png
 
MWANDILA AELEZEA HALI YA TIMU

kaimu kocha mkuu wa yanga hii leo alipokua akihojiwa na waandishi wa habari mjini algiers alisema "Hali ya hewa ya huku ni tofauti na ile yaTanzania,huku kuna baridi na kwetu kuna joto.Lakini si baridi ya kuweza kuathiri wachezaji.Na kuhusu mchezo tunaamini utakuwa mgumu ukizingatia tupo ugenini,lakini katika mpira matokeo mazuri au mabaya huweza kupatikana katika uwanja wowote kulingana na namna ulivyojiandaa.Tumejipanga kuonesha ushindani na dakika 90' zitaamua matokeo" .
Tunawatakia kila la heri
Daima mbele nyuma mwiko
 
Kikosi cha Yanga dhidi ya USM Alger, mchezo wa kwanza katika hatua ya makundi ya Kombe la Shrikisho Afrika

1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Gadiel Michael
4. Abdallah Shaibu 'Ninja'
5. Andrew Vicent 'Dante'
6. Said Juma
7. Juma Mahadhi
8. Raphael Daudi
9. Yusuph Mhilu
10. Pius Buswita
11. Geofrey Mwashiuya

Kikosi cha akiba

12. Ramadhani Kabwili
13. Juma Abdul
14. Haji Mwinyi
15. Pato Ngonyani
16. Emmanuel Martin
17. Yohana Mkomola
 
Yaani leo ni balaa, sijui ni kwanini hatukujitoa tuu kwenye haya mashindano!
 
Kikosi cha Yanga dhidi ya USM Alger, mchezo wa kwanza katika hatua ya makundi ya Kombe la Shrikisho Afrika

1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Gadiel Michael
4. Abdallah Shaibu 'Ninja'
5. Andrew Vicent 'Dante'
6. Said Juma
7. Juma Mahadhi
8. Raphael Daudi
9. Yusuph Mhilu
10. Pius Buswita
11. Geofrey Mwashiuya

Kikosi cha akiba

12. Ramadhani Kabwili
13. Juma Abdul
14. Haji Mwinyi
15. Pato Ngonyani
16. Emmanuel Martin
17. Yohana Mkomola
Wale wote wa kimataifa wameendelea kugoma hadi walipwe?.Hii hatari kubwa.
 
Dakika ya 15 USM Alger 1 Young Africa 0.....vijana wakazane hawa jamaa ni wakawaida kabisa
 
Yanga walikata tamaa bure,wangekuwa na spirit halafu wote wapo wangewafunga hawa jamaa
 
Hivi huyu golikeeper wa USMA ana mikono kweli...maana mpira haujafika kwake nione
 
Back
Top Bottom