Aadilu
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 645
- 463
Nchi imekua kiutandawazi, Tanzania ya leo si ya mwaka 1978, Uhalifu wa kutumia silaha umeongeza, ugaidi ndio kila kukicha utekaji nyara nao unashika kasi, Hivi, tulishawahi kujiuliza yaliyotokea westgate kule Westland Nairobi yakitokea Pale Quality Plaza tutachukua hatua gani.
Hivi leo watokee Watu kama 9 hivi wenye silaha nzito na mbinu za medani, wakavamia shule moja let's say St Marys na kuanza kuua ovyo tutawafanyaje? Polisi hawa wa kawaida wataweza mziki huo?
Bila shaka tunahitaji kikundi maalum kutoka idara za ulinzi na usalama chenye uwezo wa kupambana na matukio kama haya, Special weapons and tactics.
Mimi nashauri tu tuanzishe hii kitu naona kama tumejisahau sana...