Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
we mzee huzeeki tangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😜😘😘Jamaniii, I feel the hug 🤗......
Mapendo daimaaaaa....
My apologies nimechelewa kujibu, nilikuwa mbali na kiandikio cha kopyuta mpakato.... usiulize kilongalonga, hqbari ni ndefu.
Nashukuru leo nimepata wasaa wa kuonekana hapa.
Sasa usiku wangu wa leo utaenda kuwa mtamu sababu ya salamu hizi...... (zisisindikizwe na tunguri tuu tafwadhali....😜😜😜.
Sasa sijui itakuwejeeee......
Ule mchakato umeingia shubiri....🤔🤔🤔.
Uzuri salamu ni nusu ya kuonana.
Natumai umeuanza mwaka vyema kwa amani, furaha na upendo 😊.
Umeusogeza sana motoni,utaungua huo
Mahaba na huba vimenishukia.....
2024 si haba, Mahaba Matata 😊.
View: https://youtu.be/_2Ria6-Xj18?si=Gm3H5dClUkxTOKb5