Vipi mkuu hadi leo bado wanatoa huduma?Mkuu kabasele, yupo mzee mmoja hapo Magomeni mikumi, anaitwa Dr. Ole, amefanya kazi muhimbili miaka mingi sana na sasa amefungua hospital yake( Inaitwa Ekenywa). Yule mzee hakuna tena mfano wake kwenye kutibu masikio. Mimi nilishakata tamaa kabisa na masikio yangu. Lakini alichokifanya hakina tofauti na miujiza..... kama una amini. Ukin PM nitakupa namba zao.
Dr. Ole alifariki lakini hosipitali bado ipo. Mimi sija enda tena maana nilipona mkuu.Vipi mkuu hadi leo bado wanatoa huduma?
Vipi mkuu hadi leo bado wanatoa huduma?
RIP. Alikuwa Dr mzuri sana. Alinitibu. Tatizo lilikuwa ni allergy.Dr. Ole alifariki lakini hosipitali bado ipo. Mimi sija enda tena maana nilipona mkuu.