Specialist wa masikio nitampata wapi?

Specialist wa masikio nitampata wapi?

kabasele

Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
91
Reaction score
34
masikio yangu yananisumbua. yanakuwa kama yameziba na kama vile yana majimaji.
mara nyingine yanawasha. nahitaji kumuona daktari specialist nitampata wapi?
 
Mkuu kabasele, yupo mzee mmoja hapo Magomeni mikumi, anaitwa Dr. Ole, amefanya kazi muhimbili miaka mingi sana na sasa amefungua hospital yake( Inaitwa Ekenywa). Yule mzee hakuna tena mfano wake kwenye kutibu masikio. Mimi nilishakata tamaa kabisa na masikio yangu. Lakini alichokifanya hakina tofauti na miujiza..... kama una amini. Ukin PM nitakupa namba zao.
 
Vipi mkuu hadi leo bado wanatoa huduma?
 
Back
Top Bottom