Speech ya Akon kwenye conference ya youth connect Kigali Rwanda!

Speech ya Akon kwenye conference ya youth connect Kigali Rwanda!

Best speexh naiskiliza kila dk..!
 
Jamaa yupo vizuri sana kwenye kichwa.....Vyombo vya habari vya kwetu vijifunze kitu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na bongo movie na wasanii wetu..nmefuraha aliposema wasanii wa Mbele wanashoot video kwenye magari mzuri ambayo kiuhalisia sio ya kwao wakishamaliza kushoot wanaita uber wanaondoka,ila wasanii wa kubwa wa Africa wengi wana milikimagari mzuri .
 
Mada za maana kama hizi hazina wachangiaji ila zile za kijinga Jinga utakuta comments hadi 600.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best ever sema hiki kitu Rwanda wanajitajidi sana kubrand nchi yao nadhani na kwetu inawezekana kama kutakutakuwa na falsafa inayoeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeendekeza siasa mpaka tumesahau uzalendo wetu, akon yupo sawa kabisa.
 
Bonge la speech... sio lazima uitumie at large scale sababu yawezekana nguvu yako ni ndogo na impact ni negligible kwa population... unaianzia at individual na family level... let people see what you want them to see, brand yourself and family... know your value coz with time your people will transfer the positive energy to others too inakua chain... shukrani sana uploader binafsi nimeguswa especially mfano wa Westgate
 
Mi naona ni swala sasa la wasanii wetu kuanza kutangaza zaidi Afrika kwa kutoimba kiingeleza kwenye nyumbo zao
Au kuonesha utajiri wakati hakuna uhalisia
 
Back
Top Bottom