Speech za Idd Amin Dada: Andaa spea za mbavu zako!


Hii imenifurahisha sana mkuu pamoja na hiyo ya yeye kutokutawaliwa na any super power!
 
Halafu kutokana na speech hiyo ya rais wetu bila aibu wako watu wanamsifi. Ninachoona ni maneno ya Kiingereza yaliwekwa pamoja ambayo hayana mvuto. Ingekuwa heri angejibu kwa Kiswahili halafu ikatafsiriwa. Dah! Nimekubali kama mara kwa mara huzungumzi kudhungu kinaweza kukupiga chenga tena mbele za watu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

hiyo speech ya mkuu wa kaya ilitia aibu sana na vicheko vingi visivyokuwa na sababu!
 
Linganisha na hii ya Raisi wenu: Ithink the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

Kikoloni soo mkuu, hii inatuambia kuwa, inabidi watoto wetu tuwapeleke shule za maana sana za kidhungu!.
Sipati picha Lowassa akiwa Rais, manake pia ni mwenzangu na mimi kwenye ngeli! Ila Kayanza Peter Pinda anakipiga!
 
"Sometimes people mistake the way I talk for what I am thinking. I never had any formal education -- not even nursery school certificate. But, sometimes I know more than Ph.D.'s because as a military man I know how to act, I am a man of action."

Huyu jamaa kweli alikuwa jasiri haogopi kutumia lugha asiyoielewa vizuri kwa wale aliojua akitumia lugha yake hawataelewana. Kwa kulijua hilo labda ndo maana aliamua kuwaambia hayo maneno kuwa wakati mwingine kwasababu ya kutojua vizuri kiingerezaya anaeleweka vibaya. Akatoa sababu ni kwanini hakijui. Hiyo si courage ndogo, inahitaji mtu mwenye kujiamini. Na hasa kwa wakati huu ambapo wengi wanadhani kuongea kiingereza ndo kuelimika. Kuonekana msomi.



"I do not want to be controlled by any superpower. I myself consider myself the most powerful figure in the world, and that is why I do not let any superpower control me."

Kudhihilisha kuwa yeye si mnyonge akaamua kutoa na hiyo. Nadhani walimwelewa.
Hahahahahaha. Alikuwa anatwanga tu tutaelewana mbele kwa mbele.
 
Linganisha na hii ya Raisi wenu: Ithink the... the issue of satisfied with MCC should have com... should havebeen asked me.

Ndo maana wanakimbia midahalo kabla ya uchaguzi, haya ni maajabu ya 2013. Leo nimepata ukweli kwa nin gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa.
 
Kama alisema hivyo huyu jamaa ni jembe la africa, hakuna kuongea kiingereza kama kwamba mtumwa wa kudumu, ongea hovyo hovyo hivyo hivyo, kwani wao nani rais kaja kwetu kaongea kiswahili kuhutubia???
 

Is this serious? hahahaha yaani imenivunja mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…