Speech za Idd Amin Dada: Andaa spea za mbavu zako!

Speech za Idd Amin Dada: Andaa spea za mbavu zako!

Huyu jamaa alikuwa kiboko!!!

Idi Amin, president of Uganda, as quoted in Newsweek 12 March 1973.

"Sometimes people mistake the way I talk for what I am thinking. I never had any formal education -- not even nursery school certificate. But, sometimes I know more than Ph.D.'s because as a military man I know how to act, I am a man of action."

It sounds so nice and logically!
 
Attachments

  • Execution.jpg
    Execution.jpg
    46.4 KB · Views: 239
Mi sijui tatizo ni nini?! sasa huyu ni President sijui First Lady alizunguza ki2 gani!? Hii aibu kabisa,aibu. Tunadharaulika? huenda obama na my wife wake wamecheka mpaka wanafika Washington. Mr. Dhaifu,we ni dhaifu mpaka kwenye lugha?!!
Mtumwa ni mtumwa tuuuu.
Wewe ni mtumwa toka moyoni. Hivi unadhani kiingereza ni nini??? Haswa katika nchi inayotambulika duniani kama waasisi wa lugha ya kiswahili na kiswahili ni lugha ya taifa?
Mnajaribu kuipaka matope HADHI YA RAISI na kuikejeli ziara ya obama huku kwenye mioyo yenu mkiugulia maumivu ya mafanikio ya mh Raisi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nyie MENDE WA CHADEMA mnatuonesha ni jinsi gani msivyo wazalendo wa nchi hii na ni maadui wa kudumu wa taifa hili.
Siwapingi katika mnalolifanya na ninawaunga mkono ili mwisho wa siku" KILA MTANZANIA AJUE ILE DHAMIRA ILIYO NDANI YA CHAMA CHENU.
Kaburi lenu mnalichimba kwa mikono yenu na hiyo ndio furaha yetu wale wenye mapenzi mema kwa nchi hii
 
"I am not a politician but a professional soldier. I am, therefore, a man of few words and I have been brief through my professional career."
Idi Amin, president of Uganda, from his first speech to the Ugandan nation in January 1971.

"Germany is the place where when Hitler was the prime minister and supreme commander, he burned over six million Jews. This is because Hitler and all German people knew that Israelis are not people who are working in the interest of the world and that is why they burned the Israelis alive with gas in the soil of Germany."
Idi Amin, president of Uganda, part of a telegram sent to Kurt Waldheim, UN Secretary-General, and Golda Meir, Israeli premier, on 12 September 1972.

"I am the hero of Africa."
Idi Amin, president of Uganda, as quoted in Newsweek 12 March 1973.

"Sometimes people mistake the way I talk for what I am thinking. I never had any formal education -- not even nursery school certificate. But, sometimes I know more than Ph.D.'s because as a military man I know how to act, I am a man of action."
Idi Amin, president of Uganda, as quoted in Thomas and Margaret Melady's Idi Amin Dada: Hitler in Africa, Kansas City, 1977.

"I do not want to be controlled by any superpower. I myself consider myself the most powerful figure in the world, and that is why I do not let any superpower control me."

Idi Amin, president of Uganda, as quoted in Thomas and Margaret Melady's Idi Amin Dada: Hitler in Africa, Kansas City, 1977.

"His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular."
The titles that Idi Amin, president of Uganda, gave himself, as reported in "A Clown Drenched in Brutality", Sunday Times, 27 July 2003.
hapo kwenye red kanifurahisha sana huyu mtu.
 
Huyo ndiye IDDI AMIN DADDAHS' speeches.Not fake ni za kweli kabisa.Zipo kwenye kumbukumbu za watu makini.
Wale wanaosoma vitabu vya historia na kufuatilia matukio yaliyopita.Si za kutunga wala kumkejeli Iddi Amin.Kwa Mtanzania makini ni lazima ajiulize huyu Iddi Amin alikua nini,nani na kadhalika.
 
Mkuu kuna kitabu kinaitwa State of Blood,inside story of Idi Amin kilichoandikwa na Herny Kyemba.
Mkuu MTAZAMO hivi hizi speech ni za kweli au kuna kikundi cha watu walikuwa wanataka kuwachekesha dunia.

Nadhani ni mockery speech za kuigiza tu vituko vya Idd Amin.
Kwanini sehem ingine anaweka ngeli imenyooka afu kwingine inakuwa tafrani?
 
Man of Action! Uliza wahindi waliokuwa wakiinyonya Uganda!

"Sometimes people mistake the way I talk for what I am thinking. I never had any formal education -- not even nursery school certificate. But, sometimes I know more than Ph.D.'s because as a military man I know how to act, I am a man of action

View attachment 100743
 
Nadhani ni mockery speech za kuigiza tu vituko vya Idd Amin.
Kwanini sehem ingine anaweka ngeli imenyooka afu kwingine inakuwa tafrani?
Kitu usichokijuwa ni heri ukae kimya uwe msomaji tu...

Nimeangalia Documentary ya Idd Amin nilikutana na mbwembwe hizi...

Henry Kissinger (US Secretary of State ) he is attacking weakest leader but i cant do it to General Amin because he kows me am very powerful.

Kituko kingine ndani ya hiyo Documentary (siyo filamu ) General Amin anakaguwa mazoezi ya kivita ya majeshi yake ili kwenda kuivamia Israel na kuiondoa kwenye milima ya Golan.

You can imagine huyo mtu alikuwa ni chizi kiasi gani!! na kama kawaida sentensi yake lazima amalizie na neno completely.
 
hahaha! mazoezi ya kuivamia Israel!
 
pia alipenda neno " Thanx you very much indeed"
 
So Mr JK is working even harder to overtake the clown of all time in the world,Mr Idd Amin in making bizzare speeches!Don't worry JK soon will dethrone Idd Amin from the throne.
 
Mtumwa ni mtumwa tuuuu.
Wewe ni mtumwa toka moyoni. Hivi unadhani kiingereza ni nini??? Haswa katika nchi inayotambulika duniani kama waasisi wa lugha ya kiswahili na kiswahili ni lugha ya taifa?
Mnajaribu kuipaka matope HADHI YA RAISI na kuikejeli ziara ya obama huku kwenye mioyo yenu mkiugulia maumivu ya mafanikio ya mh Raisi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nyie MENDE WA CHADEMA mnatuonesha ni jinsi gani msivyo wazalendo wa nchi hii na ni maadui wa kudumu wa taifa hili.
Siwapingi katika mnalolifanya na ninawaunga mkono ili mwisho wa siku" KILA MTANZANIA AJUE ILE DHAMIRA ILIYO NDANI YA CHAMA CHENU.
Kaburi lenu mnalichimba kwa mikono yenu na hiyo ndio furaha yetu wale wenye mapenzi mema kwa nchi hii

Mtu ni yupi hapa ? Yule aliyeamua kutumia Kiingereza ambacho hakijui kuwakilisha ujumbe au huyu aliyemnukuu aliyechemsha kiingereza ? Kwani alishindwa nini kutumia kiswahili ? ili Obama apate kwa kutafsiriwa kuliko kuongea kwa lUGHA YA WATU ambayo inatudhalilisha wote, watu wenye busara wanajiuliza Nchi hii ambayo Rais yuko hivi watu wake wakoje ? wote tunaonekana mazuzu tu...
 
Amin amezushiwa mengi sana!.. Rest In peace Kamanda Amin

Acha uongo_hili la kiinglish kibovu hajazushiwa...jamaa alikuwa poyoyo kweli,...labda kama umeanza kuunganisha hili na hisia zenu za kidini.
 
Amin alikuwa na maono, aliipenda nchi yake na watu wake, alikuwa a very social object. Alijiamini sana, alipenda jeshi sana, alipenda kushinda adui zake wakati wote, hakubahatika kwenda shule kabisa. Hotuba zake zilikuwa fupi lakini alijikita kwenye vitendo. Alihamasisha watu kudiriki...mfano; aliwataka wanawake wajitokeze kulima mboga na kuziuza, aliwaambia waamke mapema na kuchelewa kufunga maduka. Hii sasa ni virtue ya waganda; 6 usiku ukienda Kampala maduka, masoko yako wazi na akina mama wanajibidisha sana. Hakuwahi kuwa na lugha nzuri ya kuongea kumpendezesha yeyote, alijiona insecure muda mwingi na akikuhisi -akioteshwa kuwa wewe ni adui yake, umekwisha! Kiingereza chake kilikuwa kibovu kuliko cha Waziri wa elimu -naibu Mulugo. Aliua bila huruma, na akikupenda amekupenda. Aliamua kuji-align na wafaransa alipovunja mahusiano na Uingereza. Bado namwona kuwa hero wa waganda licha ya madhaifu menfi aliyokuwa nayo
 
hahahahaah..hakuna siku nimecheka kama leo jaman...thanx mkuu MTAZAMO...umetengeneza siku yangu aisee..nipo peke yangu nyumbani nacheka kama mwehu hapa
 
Back
Top Bottom