Speed ndogo chini ya 60

Speed ndogo chini ya 60

kinehe

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
205
Reaction score
198
Wana jf naomba kujua watalam wakiwa wanaeleza ulaj wa mafuta kweny high way yanakuw kidgo na automatically high way speed huw kubwa 80 to 100, sasa naulza km ni town trip na unatumia speed ya 40 had 60 ulaj unakuw mkubwa, HOW?? Msaada
 
Kwa uelewa wangu mdogo ukiwa speed ndogo unatumia gia kubwa yaani 1,2 na 3.so hz hutumia nguvu na mafuta,ila high way mara nyingi ni gia 5,4.,
 
Low speed inatumia lower gear tena kwa auto cars ndio inakula zaidi ukiwa Highway unatumia high gear ambazo ni nyepesi
 
Acheni ujinga bhana kwani mafuta hutumika mengi pale rpm inaposoma juu zaidi au! Speed 40 hadi 60 rpm inakuwa chini kabisa ivyo mafuta hayatumiki mengi
 
Back
Top Bottom