kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Hivi hili ni mimi au nanyie mnaexprience hii hali?
Mnaweza kudhani labda ni simu La hasha simu ram ni 12 na uwezo wake ni mkubwa haijajaa hata
Mitandao sijui imekuaje
Mfano Halotel 3g yao inakasi kuliko 4G yao yaani kwenye simu ukiset 3G option ndo inakua na kasi
Voda 5G 4G na 3G lakini naishia kuset 3G tu maana 4G zao na 5G zao ni magumashi tu
Tigo nao ni hivyo hivyo bora wao LTE yao inakasi kidogo ila 5G yao hamna kitu