Speed ya internet huku Mbeya ni nzuri tofauti na Dar es Salaam

Speed ya internet huku Mbeya ni nzuri tofauti na Dar es Salaam

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,214
Dar internet ya TTCL inakata kata sana na speed yake ni ndogo sana kwanini?

Lakini huku Mbeya nimekuja jana lakini nimeona tofauti kubwa ya speed ya internet ukilinganisha na Dar hii ina maana gani huku Mbeya kuna nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TTCL na TBCCM ni kwa ajili ya usweken. Sikulaumu
 
Dar internet ya TTCL inakata kata sana na speed yake ni ndogo sana kwanini?

Lakini huku Mbeya nimekuja Jana lakini nimeona tofauti kubwa ya speed ya internet ukilinganisha na Dar hii ina maana gani huku Mbeya kuna nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Idadi ya watu pia inachangia hii net ya minara ya simu bandwidth watumiaji mna share kama watumiaji hampo wengi speed nzuri .....hiohio ttcl kuna maeneo ukikaa kwa dar haisumbui
 
Hiyo ina maana kuwa simu za tochi a.k.a zisizo na internet ni chache, yaani users wakiwa wachache kwenye bomba la bandwidth pressure ya data inakuwa kubwa

Back
Top Bottom