Speedaf wana changamoto gani?

Mkuu mimi niliagiza taa za gari Alli express. Mzgo ulifika haraka sana siwezi walaumu speedaf shida ipo kwa wabongo wenzetu mawakala wao ambao kwa huku kwetu ni mawakala wanaopokea na mizigo ya kukuu. Mzgo ulifika dar ndani ya siku 10 tu. Toka dar hadi nilipo imechukua mwezi mzma,ikabidi nifuatilie sana wakaniambia mazgo ulipitiliza ilienda mkoa wa jiran na nilipo. Hapo napo ukachukua wiki 2 sehemu ya basi linatumia msaa 4 tu. Cha ajabu mzgo nimeupata wameifungua na ile bahasha yake haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…