Ooooh kwakwel asije jiharibiaaanasema hivi kwa sababu kuna maudambwi anaanza kuyaingiza ambayo yatamgharimu...hayo awaachie akina Kivuyo na George Marato
Azam TV hawachelewi kumchukua maana wao kama Yanga hawataki mtu ang'ae nje yao . Bado sijaona umuhimu wa Azam kurundika watangazaji wote wale mahiri !
Haaa Haaa wataka wateja wao nyie mpende bidhaa zao kupitia Nyuso za Watu Kama hao .Azam TV hawachelewi kumchukua maana wao kama Yanga hawataki mtu ang'ae nje yao . Bado sijaona umuhimu wa Azam kurundika watangazaji wote wale mahiri !
Azam tv wamekosa ubora aisee hawana mvuto ubunifu '0' taarifa zao zimepoa sana hasa baada ya uchaguzi kuisha nina hakika waangaliaji wa vipind vyao wamepungua sanaaaa....Nilisema toka mwanzo kuchukua watangazaji wengi haitoshi bali ubunifu kwenye vipindi ndio unatakiwa..unaweza kumfundisha mtangazaji yeyote akafit...! ITV wanajua sana kufundisha watu hasa kwenye utangazaji
Walicho takiwa ni kuandaa vipindi vinavyo vutia watazamaji sio kuwa na watangazaji wengi halafu ndio uanze kufikiri vipindi! Wenzao IPP vipindi vina wabeba sana ndio maana akiondoka huyu ana wekwa huyu! Hebu angalia wasomaji habari wa ITV kwa sasa ni wapya wengi lakini wamefunzwa vyema kusoma habari! Watu muda mwingine huwa hawajali sijui studio ikoje ..muda mwingi wanaangalia content na ubunifu!Azam tv wamekosa ubora aisee hawana mvuto ubunifu '0' taarifa zao zimepoa sana hasa baada ya uchaguzi kuisha nina hakika waangaliaji wa vipind vyao wamepungua sanaaaa....
Watu walikuwa wanahara.viva spencer alikuwa very interested to me during the campaign of election 2015.
anasafiri na rais kila anapoenda.............maswali zaidi kamuulize mengiyuko wapi Emmanuel Buhohelaa???
Haaa Haaa wataka wateja wao nyie mpende bidhaa zao kupitia Nyuso za Watu Kama hao .
wao kama wao wanajua maana ya hicho kinachofanyika na Azam .
Eti Mkuu vipi Kwa Salim Kikeke.