Spencer Lameck Uende Mbali Sana

Spencer Lameck Uende Mbali Sana

Nikiripoti kutoka jamii forums,ni mimi Spencer Lameck wa ITV.
YNWA
 
Azam TV hawachelewi kumchukua maana wao kama Yanga hawataki mtu ang'ae nje yao . Bado sijaona umuhimu wa Azam kurundika watangazaji wote wale mahiri !
Haaa Haaa wataka wateja wao nyie mpende bidhaa zao kupitia Nyuso za Watu Kama hao .
wao kama wao wanajua maana ya hicho kinachofanyika na Azam .
Eti Mkuu vipi Kwa Salim Kikeke.
 
Nilisema toka mwanzo kuchukua watangazaji wengi haitoshi bali ubunifu kwenye vipindi ndio unatakiwa..unaweza kumfundisha mtangazaji yeyote akafit...! ITV wanajua sana kufundisha watu hasa kwenye utangazaji
Azam tv wamekosa ubora aisee hawana mvuto ubunifu '0' taarifa zao zimepoa sana hasa baada ya uchaguzi kuisha nina hakika waangaliaji wa vipind vyao wamepungua sanaaaa....
 
Azam tv wamekosa ubora aisee hawana mvuto ubunifu '0' taarifa zao zimepoa sana hasa baada ya uchaguzi kuisha nina hakika waangaliaji wa vipind vyao wamepungua sanaaaa....
Walicho takiwa ni kuandaa vipindi vinavyo vutia watazamaji sio kuwa na watangazaji wengi halafu ndio uanze kufikiri vipindi! Wenzao IPP vipindi vina wabeba sana ndio maana akiondoka huyu ana wekwa huyu! Hebu angalia wasomaji habari wa ITV kwa sasa ni wapya wengi lakini wamefunzwa vyema kusoma habari! Watu muda mwingine huwa hawajali sijui studio ikoje ..muda mwingi wanaangalia content na ubunifu!

Azama wanatakiwa kuzalisha vipindi vya kuvutia wasiache gap..!
 
Buhohela Ni mwana habari ikulu, fuatilia ziara ya raisi JPM akiwa Rwanda utamsikia buhohela akiripoti kutoka mawasiliano na habari ikulu.
 
Haaa Haaa wataka wateja wao nyie mpende bidhaa zao kupitia Nyuso za Watu Kama hao .
wao kama wao wanajua maana ya hicho kinachofanyika na Azam .
Eti Mkuu vipi Kwa Salim Kikeke.

hahaha hata huyo kikeke ukisikia kastaafu tu Azam TV hao wanamdaka, huyo Mzee baresa nae sijui ndo mambo ya elimu watu wanamlia mihera tu pale kuanzia upande wa TV hadi michezaji yake yakina Boko
 
Kichwa cha habari na content ni vitu vitatu vinavyoshahabiana.
 
Back
Top Bottom