Sperm analyisis inapimwaje???

sinide

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
459
Reaction score
486
Msaada jamani kama swali linavouliza naombeni jibu
 
Ndo ivi majibu yake yanakuwa
1.physical examination-unaangalia sperms jinsi zilivo
2.microscopic examination-kwenye microscope

Majibu ndo yanakaa kama ivo yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hamu ya kupiga punyeto hospital naipataje asee

manii yanapaswa kutolewa saa moja kabla ya kupimwa hivyo kama nyumbani ni karibu unaweza kutolea nyumbani ila kuna hospitali moja nilienda kupima kuna chumba kimetengwa kiko jirani na maabara,
 
manii yanapaswa kutolewa saa moja kabla ya kupimwa hivyo kama nyumbani ni karibu unaweza kutolea nyumbani ila kuna hospitali moja nilienda kupima kuna chumba kimetengwa kiko jirani na maabara,
Mwisho wa siku majibu yalikuwaje? Umeshapona au bado Mungu hajakubariki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…