Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinapimwa shahawa Kijana, kwa hiyo utaambiwa utoe shahawa zikapimwe na aghlab utazitoa kwa kupiga punyetoMsaada jamani kama swali linavouliza naombeni jibu
Unatolea hospitali au nyumbani????Zinapimwa shahawa Kijana, kwa hiyo utaambiwa utoe shahawa zikapimwe na aghlab utazitoa kwa kupiga punyeto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wang alibeba mimba ikaharibika tangu hapo hashiki tena mimba.Huna haja ya kuangaika kupima kama tokea umeanza kudate hakuna hata kadada kamoja kalichokuambia ana mimba yako jua zipo dhaifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo majibu yako?? Mbona sperm nyingi haziko active?? Chips Kuku ni Hatari Sana!Ndo ivi majibu yake yanakuwa
1.physical examination-unaangalia sperms jinsi zilivo
2.microscopic examination-kwenye microscope
Majibu ndo yanakaa kama ivo yanView attachment 1055229
Sent using Jamii Forums mobile app
aina hii ya comment ndiyo imesababisha hii comment yakoWe ni daktari????? Kama sio kausha fata mambo yako
aina hizo za comments ndizo sinaMke wang alibeba mimba ikaharibika tangu hapo hashiki tena mimba.
Usiwe mtu wa mihasira utapata watotoSijakusoma mkuu
Sasa hamu ya kupiga punyeto hospital naipataje asee
Huo ndo mtihani aisee!Sasa hamu ya kupiga punyeto hospital naipataje asee
Mwisho wa siku majibu yalikuwaje? Umeshapona au bado Mungu hajakubariki?manii yanapaswa kutolewa saa moja kabla ya kupimwa hivyo kama nyumbani ni karibu unaweza kutolea nyumbani ila kuna hospitali moja nilienda kupima kuna chumba kimetengwa kiko jirani na maabara,
Mwisho wa siku majibu yalikuwaje? Umeshapona au bado Mungu hajakubariki?
Sent using Jamii Forums mobile app