Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

Dimma

Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
99
Reaction score
135
Wasalaam wanaJF.

Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.

Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :



(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)

Ahsanteni.
 
In layman's language sperm wako wanaleta uboya katika kazi za kiume.

Yaani umejitumaaaa, umesimamia kuchaaa, umecheza kidukuuu lakini ukiwaachia tu pale penyewe badala wakimbie fasta kwenye yai kama relay , yaani scramble for the fittest wanaleta pozi, *****.

Pia, kuhusu shape of sperm head inabidi iwe sharp pointed ili inase kwenye yai. Sasa wa kwako wanafocus zaidi kwenye editing hawanyooki.

N/B, just meant to make you smile bro. But you get the idea.😉
 

mkuu, unamaanisha sperm zangu hazina speed ya kutosha? zinatembea badala ya kutoka nduki?
 
Inawezekana kwenye shimo mazingira si rafiki....
 

Nimecheka pia.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Pole mkuu Dimma. Mungu mwema utapata watoto tu. Fanya subira fanyaneni kwa bidii na kuleni vyakula lishe. Tunawaombea heri [emoji1431]
 
Nimecheka pia.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Pole mkuu Dimma. Mungu mwema utapata watoto tu. Fanya subira fanyaneni kwa bidii na kuleni vyakula lishe. Tunawaombea heri [emoji1431]

Ameen! Shukrani sana mkuu Whitehorse. Naongeza bidii aisee 🙂🙂
 
Mkuuu ,,take her mkono kwa mkono ..nenda umpimishe mpo naye.

Moja ya jambo ambalo mwanamke hatokuja kusema ukweli
--nikm anajua hawezi kuzaaa .

usiyaamin sana maneno yake kabisaa .mwende wawili wamchek mbele yako..

Lkn pia Kwamajibu yoyote yatakayokuwepo Huyo nimkeo natabak kua mkeo na KUZAAAL NIMAJALIWA WENDA MNAKULANA SIKU ZISIZONAKITU,, ALAFU SIKU ZENYE KITU NDO MNAPUMZIKA.
 

ahsante sana chief Putin kwa ushauri wako murua kabisa. Nitazingatia uliyonieleza ndugu yangu. Shukrani
 
ahsante sana chief Putin kwa ushauri wako murua kabisa. Nitazingatia uliyonieleza ndugu yangu. Shukrani
Nakm utathibitisha yupo sawa ,,naomba tuwasiliane ,,, wanawake wengi husumbuliwa nakitu kinaitwa "Mchango" bila kuiondoa iyo hata km anamayai ya mapacha mapacha HATOBEBA MIMBA NG'OOOOO NA HOSPITAL UNAAMBIWA MKEO YUPO SAWA NAWW UPO SAWA.

Na mpwa Wangu mmoja,, Kubeba mimba ilishindikana lkn Hospital kila kipimo anaonekana yupo sawa ,,kumbe alikua namchango " Wamama hii wanaijua sana" ......Akapatiwa dawa,, katumia wiki mbili Kichefu Mara kitu ikooooo saizi Toto lake linamiaka 3 bongeeeee na anamimba tena ( jamaa wake Hataki masiala)[emoji23] [emoji23]

so ukishampima akawa poa nabado kuna hilo tatizo Tichekiane mkuuu..
Wanaume hatutupanigi .
 

Shukrani sana mkuu Putin. Hakika nitakutafuta baada ya jitihada za vipimo zaidi.
 
Upo fresh mkuu. Nasikia "dogggy" inafaa sana katika "kilimo cha watoto" hasaa wakati wa asubuhi.

Hahahaa poa chief. Basi itabidi nikomae kutupia magoli sana kwa 'doggy' .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…