Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

Upo njema naona. (ila subiri madaktar)

[emoji23][emoji23][emoji23]yangu ilikua kimeo. Wallah sisahau
 
Nakm utathibitisha yupo sawa ,,naomba tuwasiliane ,,, wanawake wengi husumbuliwa nakitu kinaitwa "Mchango" bila kuiondoa iyo hata km anamayai ya mapacha mapacha HATOBEBA MIMBA NG'OOOOO NA HOSPITAL UNAAMBIWA MKEO YUPO SAWA NAWW UPO SAWA.

Na mpwa Wangu mmoja,, Kubeba mimba ilishindikana lkn Hospital kila kipimo anaonekana yupo sawa ,,kumbe alikua namchango " Wamama hii wanaijua sana" ......Akapatiwa dawa,, katumia wiki mbili Kichefu Mara kitu ikooooo saizi Toto lake linamiaka 3 bongeeeee na anamimba tena ( jamaa wake Hataki masiala)[emoji23] [emoji23]

so ukishampima akawa poa nabado kuna hilo tatizo Tichekiane mkuuu..
Wanaume hatutupanigi .

Mkuu Putin, habari tena ndugu.
Wife huwa anapata kichomi ukeni na kwenye njia ya haja kubwa. Kichomi kinamuanza wakati anakaribia siku za bleed... bleeding ikianza kichomi kinapotea.
 
Umeandika kitu ambacho mdau kama hajapanick zaidi atakuelewa, yani inawezekana bint alikuwa anajiachia bila kinga kwa raha zake ila anaogopa mimba tu, daaah! basi sawa
Mkuu not necessarily kua alikua anajiachia. Pengine muda wote alikua ni wake ila hakutaka mtoto.
Kinga ya kuzuia mimba si kwa ajili ya wanawake wanaojiachia tu mkuu. Wanawake wanaojiachia kwao ni bora condom sio njia nyengine.
Pia ukumbuka wanawake hukutana na mambo mengi ikiwa ni pamoja kubakwa. Sidhani kama Kuna mwanamke angependa kua na mtoto wa matokeo ya kubakwa.
Kwa hivi mkuu kusema kua labda ni matokeo ya Kinga za kuzuia mimba haimaanishi kua nna maana shemeji alikua mtukutu
 
Thanks mkuu kwa kuni-correct, humbly thanks
 
Si bora kutembea?

Mario hao.
Mambo mengine ni seriously acha kuandika kishakunaku kama unaimba vigodoro Tandale,andika lugha laini na nyepesi hujui huyu mtu anajisikiaje ktk nafsi yake kusoma post kama hii.hata kama unajua sana ila jifunze namna bora ya kuuwakilisha ujuaji wako kwa wengine hivyo utaheshimika ila kwa style hii utadharaulika.
 
Wakati mwingine mbegu zako zinakosa nguvu kutokana na hali ya ute ulio kwenye uchi wa mkeo,
Imetokea kwa jirani yangu waliishi kwa miaka mitatu bila mtoto, wakaamua kuachana na sasa wote wana watoto kwa wenza tofauti,
Fanyeni uchunguzi wa hali ya mbegu zako kama zaweza savaivu hadi kufika eneo husika
 
Kulingana na lab results hauna tatizo la kikufanya ushindwe kumpa mwanamke ujauzito.
Kila kitu Kipo sawa .
Pia ktk harakati zako zote za kutafuta mtoto ujue kua fertilization occurs by chance.

Asante
 
Miezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife

Kwenye vitu muhimu kama hivi huwa hatuchukui au kusimama na maelezo, tunaenda wote, lokota mke kwa Upendo wote mkacheki pamoja, bila hasira au lawama, kwa furaha kabisa! kama alitoaga mimba nyingi zimeleta tabu utajua mtaona mfanyaje
 
Mambo mengine ni seriously acha kuandika kishakunaku kama unaimba vigodoro Tandale,andika lugha laini na nyepesi hujui huyu mtu anajisikiaje ktk nafsi yake kusoma post kama hii.hata kama unajua sana ila jifunze namna bora ya kuuwakilisha ujuaji wako kwa wengine hivyo utaheshimika ila kwa style hii utadharaulika.
Usinipangie niandikeje mkuu.
 
Miezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife
Jiongeze Kijana wa Kiume niongeze kijana bhana wewe mwanaume bhana ukipata matokeo mazuli iwe siri ya kiume
 
Naona Bashite kaja kupata uhakika Jf. Usijali kaka Paulo kila kitu kitakua sawa kaka, Mungu wetu ni mwema kaka PCM a.k.a DAB.
 
Nilikuwa na tatizo kama lako,nikaenda hospital wakasema sperm hazina matatizo.basi nikachepukia kwenye mizizi sasa hivi nina watoto watatu.
 
Wasalaam wanaJF.

Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.

Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :

View attachment 652764

(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)

Ahsanteni.
Kwenye mbegu zako kuna usaha. Una kisonono utakuwa umemwambukiza mkeo! Waambie wakutibu haraka
 
[emoji15]
1.wife unakutana nae siku zinapokuwa za hatari? Au mnafanya bila kujali hicho?
2.huwa anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa?
3.Je ana amniotic za kutoka kwny uke wake zinazorahisisha wazungu kwenda marekani?

Mkuu yapo mengi lakini nataka kujua kwanza hayo machache.
amniotic!!!!!
 
Back
Top Bottom