Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Nakm utathibitisha yupo sawa ,,naomba tuwasiliane ,,, wanawake wengi husumbuliwa nakitu kinaitwa "Mchango" bila kuiondoa iyo hata km anamayai ya mapacha mapacha HATOBEBA MIMBA NG'OOOOO NA HOSPITAL UNAAMBIWA MKEO YUPO SAWA NAWW UPO SAWA.
Na mpwa Wangu mmoja,, Kubeba mimba ilishindikana lkn Hospital kila kipimo anaonekana yupo sawa ,,kumbe alikua namchango " Wamama hii wanaijua sana" ......Akapatiwa dawa,, katumia wiki mbili Kichefu Mara kitu ikooooo saizi Toto lake linamiaka 3 bongeeeee na anamimba tena ( jamaa wake Hataki masiala)[emoji23] [emoji23]
so ukishampima akawa poa nabado kuna hilo tatizo Tichekiane mkuuu..
Wanaume hatutupanigi .
Upo njema naona. (ila subiri madaktar)
[emoji23][emoji23][emoji23]yangu ilikua kimeo. Wallah sisahau
Mkuu not necessarily kua alikua anajiachia. Pengine muda wote alikua ni wake ila hakutaka mtoto.Umeandika kitu ambacho mdau kama hajapanick zaidi atakuelewa, yani inawezekana bint alikuwa anajiachia bila kinga kwa raha zake ila anaogopa mimba tu, daaah! basi sawa
Punyeto inahusikaNafikiri zinapimwa sperms,ila sasa ambacho sikijui hizo sperms kwa muda huo zinapatikanaje au ndo unapigishwa punyeto?
Thanks mkuu kwa kuni-correct, humbly thanksMkuu not necessarily kua alikua anajiachia. Pengine muda wote alikua ni wake ila hakutaka mtoto.
Kinga ya kuzuia mimba si kwa ajili ya wanawake wanaojiachia tu mkuu. Wanawake wanaojiachia kwao ni bora condom sio njia nyengine.
Pia ukumbuka wanawake hukutana na mambo mengi ikiwa ni pamoja kubakwa. Sidhani kama Kuna mwanamke angependa kua na mtoto wa matokeo ya kubakwa.
Kwa hivi mkuu kusema kua labda ni matokeo ya Kinga za kuzuia mimba haimaanishi kua nna maana shemeji alikua mtukutu
AhhhjPunyeto inahusika
Mambo mengine ni seriously acha kuandika kishakunaku kama unaimba vigodoro Tandale,andika lugha laini na nyepesi hujui huyu mtu anajisikiaje ktk nafsi yake kusoma post kama hii.hata kama unajua sana ila jifunze namna bora ya kuuwakilisha ujuaji wako kwa wengine hivyo utaheshimika ila kwa style hii utadharaulika.Si bora kutembea?
Mario hao.
Hapo ni kumuomba Mungu apishie mbali hilo tatizo,kupigia punyeto hospital sio suala la kawaida.Ahhhj
Miezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife
Usinipangie niandikeje mkuu.Mambo mengine ni seriously acha kuandika kishakunaku kama unaimba vigodoro Tandale,andika lugha laini na nyepesi hujui huyu mtu anajisikiaje ktk nafsi yake kusoma post kama hii.hata kama unajua sana ila jifunze namna bora ya kuuwakilisha ujuaji wako kwa wengine hivyo utaheshimika ila kwa style hii utadharaulika.
Jiongeze Kijana wa Kiume niongeze kijana bhana wewe mwanaume bhana ukipata matokeo mazuli iwe siri ya kiumeMiezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife
Naona Bashite kaja kupata uhakika Jf. Usijali kaka Paulo kila kitu kitakua sawa kaka, Mungu wetu ni mwema kaka PCM a.k.a DAB.
Kwenye mbegu zako kuna usaha. Una kisonono utakuwa umemwambukiza mkeo! Waambie wakutibu harakaWasalaam wanaJF.
Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.
Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :
View attachment 652764
(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)
Ahsanteni.
amniotic!!!!!1.wife unakutana nae siku zinapokuwa za hatari? Au mnafanya bila kujali hicho?
2.huwa anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa?
3.Je ana amniotic za kutoka kwny uke wake zinazorahisisha wazungu kwenda marekani?
Mkuu yapo mengi lakini nataka kujua kwanza hayo machache.