Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

Miezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife
Ulipaswa uende nae hospital, anaweza akapimwa akaambiwa hana uzazi lakini akakudanganya kwamba yupo OK
 
Kulingana na lab results hauna tatizo la kikufanya ushindwe kumpa mwanamke ujauzito.
Kila kitu Kipo sawa .
Pia ktk harakati zako zote za kutafuta mtoto ujue kua fertilization occurs by chance.

Asante
Hata hivyo hivyo volume ni ndogo aisee!! Yaani kakaa zaidi ya siku mbili bila kuejaculate, halafu kapiga nyeto bao la kwanza tu volume ni 2mls!!!

Sasa bao la tatu si atatoa hewa tupu!!
 
Ndio hapo sasa ....watujuze
Unasex na mkeo, ukitaka kumwaga, unamwagia kwwny kicontainer fulan, then unaziwahsha hosp withn an hour. Na utunzaji wake ukiwa unazwahsha hosp unashauriwa zipate joto la mwili wako.
 
Miezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife
Napata ukakasi na maelezo ya mkeo. Yawezekana kuna jambo analijua lakini analificha na hayupo muwazi kwenye hilo jambo. Samahani kwa kutumia hayo maneno lakini kuna wakati unatakiwa ujiongeze. Kwa ujumla, hayo maelezo yake yanatakiwa ayathibitishe kwa uwepo wa cheti kutoka kwa wataalamu. Na ikiwezekana usimamie vilivyo hilo zoezi.
 
Nilikuwa na tatizo kama lako,nikaenda hospital wakasema sperm hazina matatizo.basi nikachepukia kwenye mizizi sasa hivi nina watoto watatu.

Mkuu nadry , naomba usichoke kushare nami kuhusu hili suala. Ulikaa muda gani bila kupata mtoto? na je ulipochepukia kwenye mizizi, ilichukua muda gani mambo yakatiki? na wife wako pia alikunywa mzizi?
 

shukrani mkuu. soon naufanyia kazi ushauri wako mwema.
 
Kwenye majibu ya vipimo pale mwishoni Other findings "Few pus cells........semen (+). Muulize daktari aliye karibu nawe akusaidie
 
Huwa wanawake ambao walishawahi toa mimba siyo rahisi kusema ashauza kizazi...me nafikiri nendeni mkapime mkono kwa mkono kila ofisi mpo nae....
 
Mkuu kabla hujafanya hyo sperm ulikaa kwa muda gani ndo ukatoa hizo mbegu, na ulitumia njia gani wakati unazikusanya pia
 
Maana naelewa kuna njia kama tatu zinaweza kutumika kwenye collection ya sperm japo na hyo ya punyeto ipo lakini siyo best sana, na pia muda ulio kaa hadi kufikia kutoa ni muda gani, hii inaweza kufanya volume ikawa ndogo ama kubwa
 
Ww huna tatizo, na huenda mkeo naye hana tatizo kubwa, wanawake wengi wanakuwa na uvimbe ktk njia ya uzazi unaoblock sperms zisiyafikie mayai, hawa wakifanyiwa operesheni na kusafishwa njia hawachukui round, Muone Dr Kapona, kasaidia wengi sana, Ushuhuda ni marafiki wangu Wa karibu, wote walikaa initially 4 years bilabila.

Namba ya Dr Kapona hiyo hapo: 0754286125
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…