Anne Maria
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 399
- 98
On BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor....
Vigezo
Formost::::God fearing
1.Msomi (Geek)
2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili muhusika aamue kama ameridhika)
3.Athletic
4.Great Personality
5.Generous and loving by heart
kwa aliye tayari atapata masharti zaidi PM
NB. Tafadhali volunteer jua kuwa hautaruhusiwa kuonana na mtoto atakapozaliwa na kama ikitokea imebidi basi mtoto atakufahamu kana Uncle
Pili. hautakutana kimwili na mlengwa bali utalazimika ku donate sperms zako.
NAWASILISHA
NN
Aisee khaaa!
hahahahahaha ,,,HE WHO SITS IN HEAVEN LAUGHS........... PSALMS 2;4(ZABURI 2ππ4)
...Hutaki sasa? lol! shurti zitiwe kwenye kichupa kwanza akazipime kama ziko salama π halafu anajimiminia mwenyewe akiwa faragha na kuweka miguu juu kwa masaa mawili halafu kusubiri kama mambo yamejipa lol!
Hahaahhahahahaha lol.....shida yote ya nini sasa ? miguu juu kwa masaa mawili????hahahaha....kazi kweli kweli!
Anne Maria mie ningechangia, lakini hizo sifa kwenye bold sina..................LOLOn BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor....
Vigezo
Formost::::God fearing
1.Msomi (Geek)
2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili muhusika aamue kama ameridhika)
3.Athletic
4.Great Personality
5.Generous and loving by heart
kwa aliye tayari atapata masharti zaidi PM
NB. Tafadhali volunteer jua kuwa hautaruhusiwa kuonana na mtoto atakapozaliwa na kama ikitokea imebidi basi mtoto atakufahamu kana Uncle
Pili. hautakutana kimwili na mlengwa bali utalazimika ku donate sperms zako.
NAWASILISHA
NN
"Kings of the earth take up position princes plot together against Yahweh and his anointed" This is the word of God from that verse.. am not objecting or tryng to go against it BUT NAWASILISHA nilichoombwa