Sperm donor needed

Sperm donor needed

Hapo juu kwenye red, God fearing?........ nani ambaye mwenye hofu ya Mungu kiukweli ukweli anayeweza kufanya hicho kitu? Na hicho kipengele cha mwisho (namba 5) kina umuhimu gani katika kuchangia hizo sperm au huyo mdada anaweza kubadili maamuzi baadae ili jamaa awe anaendelea kutifua mzigo? ina maana kuchangia sperm hadi awe na upendo wakati kid hatoonana nae?
Major Buyoya yote hayo niliyoyataja yanakuaga kwenye genes za mtu na hivyo basi baba mtoto akiwa navyo,, he will pass it along to the child..... Anyhow mii nilikua mjumbe tuuu...
 
mimi kidume cha mbegu uyo rafiki yako anataka kiasi gani kama majaribio au dili kabisa nijuulishe majaribio nitatowa kifuniko cha chupa kama dili ni kikombe kabisa
 
Nadhani hii ni poa kwa wapiga puli, bahati mbaya wengi wao wanaweza kuwa walevi na siyo wasomi. Hivi kweli mtu na heshima zake akaanze kujichua kwa lengo la kumfurahisha mtu tu?
~ hakuna 'kamchezo'!
~ hakuna kumwona wala kumjua mtoto! Lol!?
 
Acheni uchizi, hiyo K inauma mpaka mtu awekewe shahawa?
 
Ngoja nizikoroge halaf niziwiweke kwenye bahasha nizitume. Give me ur postal address please
 
Ngoja nizikoroge halaf niziweke kwenye bahasha nizitume. Give me ur postal address please 🙂
 
On BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor....
Vigezo
Formost::::God fearing
1.Msomi (Geek)
2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili muhusika aamue kama ameridhika)
3.Athletic
4.Great Personality
5.Generous and loving by heart

kwa aliye tayari atapata masharti zaidi PM

NB. Tafadhali volunteer jua kuwa hautaruhusiwa kuonana na mtoto atakapozaliwa na kama ikitokea imebidi basi mtoto atakufahamu kana Uncle
Pili. hautakutana kimwili na mlengwa bali utalazimika ku donate sperms zako.
NAWASILISHA
NN


Kwa masharti haya nnshawishika huyu muombaji ameolewa..lol...ila..

Completely one sided deal..there seems to be nothing in it for the donor..halafu madhara yake nini..nitatumia maisha yangu yote nikitizama watoto usoni barabarani nikijiuliza ni yupi hasa niliyemleta mimi..no waaay!!!
 
Back
Top Bottom