Anne Maria
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 399
- 98
- Thread starter
-
- #101
Major Buyoya yote hayo niliyoyataja yanakuaga kwenye genes za mtu na hivyo basi baba mtoto akiwa navyo,, he will pass it along to the child..... Anyhow mii nilikua mjumbe tuuu...Hapo juu kwenye red, God fearing?........ nani ambaye mwenye hofu ya Mungu kiukweli ukweli anayeweza kufanya hicho kitu? Na hicho kipengele cha mwisho (namba 5) kina umuhimu gani katika kuchangia hizo sperm au huyo mdada anaweza kubadili maamuzi baadae ili jamaa awe anaendelea kutifua mzigo? ina maana kuchangia sperm hadi awe na upendo wakati kid hatoonana nae?
On BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor....
Vigezo
Formost::::God fearing
1.Msomi (Geek)
2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili muhusika aamue kama ameridhika)
3.Athletic
4.Great Personality
5.Generous and loving by heart
kwa aliye tayari atapata masharti zaidi PM
NB. Tafadhali volunteer jua kuwa hautaruhusiwa kuonana na mtoto atakapozaliwa na kama ikitokea imebidi basi mtoto atakufahamu kana Uncle
Pili. hautakutana kimwili na mlengwa bali utalazimika ku donate sperms zako.
NAWASILISHA
NN