Unaonekana una freezer mwilini
Unaonekana una freezer mwilini
Ningekushauri uende hospitali kuwaona Wataalam zaidi lakini sioni kuwa kama una maradhi inategemea unakula vyakula vya aina gani vinavyozalisha Sperm zako nenda hospitali kawa one Ma-Daktari wakupime.kama unaweza kunisaidia nisaidie kashfa na majungu hayajengi tatizo langu huwa namwaga sperm zikiwa zimeshikamana yaani ni kama mafuta ya mgando ndani ya majimaji au mda mwingine bila majimaji alafu ukizigusa zinavutika kama ulimbo mkavu mzito
je hili ni tatizo gani?
Ningekushauri uende hospitali kuwaona Wataalam zaidi lakini sioni kuwa kama una maradhi inategemea unakula vyakula vya aina gani vinavyozalisha Sperm zako nenda hospitali kawa one Ma-Daktari wakupime.
Nenda Hospitali ya Rufaa Muhimbilihospital gan inaweza kuwa best zaid
Unaonekana una freezer mwilini