kama unaweza kunisaidia nisaidie kashfa na majungu hayajengi tatizo langu huwa namwaga sperm zikiwa zimeshikamana yaani ni kama mafuta ya mgando ndani ya majimaji au mda mwingine bila majimaji alafu ukizigusa zinavutika kama ulimbo mkavu mzito
je hili ni tatizo gani?
je hili ni tatizo gani?