Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Kweli kabisa
 
Mtoto wa kike (5) mkazi wa Soga Kibaha mkoani Pwani, amejeruhiwa vibaya na mfanyakaz wa ndani aliyejuljkana kama Rehema baada ya kumwagiwa mafuta ya moto sehemu mbalimbali za mwili wake na kisha mtuhumiwa huyo kutorokea kusikojulikana.
 
Wasichana wa kazi wamekuwa mashetani kabisa, mtoto hana hatia si afanye kitu kingine aache kuumiza mtoto? Halafu na yeye ni mama mtarajiwa.
 
Tazama picha za mazishi ya vijana 21 waliofariki katika klabu moja ya usiku huko London Mashariki, Afrika Kusini. Vijana kati ya umri wa miaka 13 na 17 walianza kufa mmoja baada ya mwingine katika baa ya Enyobeni mwezi uliopita. Mamlaka bado zinachunguza vifo vya watu waliofariki.




 
Mama Mmarekani Mweusi akiwafundisha watoto nambari na alfabeti nyumbani kwa sharecropper, Transylvania, Louisiana, Januari 1939 Picha na Russell Lee Picha kwa hisani ya: Kituo cha Schomburg cha Utafiti katika utamaduni wa Weusi, Kitengo cha Picha na Chapa
 
Pichani ni Mtoto Daniel Opiyo umri wa miaka 7 mbaye inaelezwa kuwa Ameuwawa na Mama Wa Kambo anaitwa Grace Otieno Katika mtaa wa Engosengiu Kata ya Sinoni Arusha ambaye kwasasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha
Na siku za nyuma Mama huyu wa Kambo alimvunja Mtoto Mkono kama anavyonekana hapo kwenye Picha
R.I.P Mtoto Daniel umekatizwa Ndoto zako.
 
Alipomvunja mkono alichukuliwa hatua gani?
 
Aisee yan nikioma hiv ata wazo la kuja kuoa siku moja naona ni upuuzi tu bora kulea .wenyewe mtoto wako tu
Inawezekana waliyamaliza kifamilia
Na hili ndio tatzo letu tunapenda kurahusisha mambo kwa kuyamaliza kiramilia kwa kisingizio cha atabadirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…