Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #2,441
Aamen [emoji1545][emoji1752][emoji2827]Broo Mshana Leo umejua kunitoa machozi, nimeumia kujua kua marafiki na ndugu tunaokula na kunywa nao Leo huenda kesho tukiwa hatupo wasile wala kunywa na watoto wetu.
Ndugu zangu japo kwa udogo tuwakumbuke yatima katika msimu huu wa sikukuu, hii itakua sadaka kwaajili ya watoto wetu kesho.