wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Hii mambo ilibaki kidogo itupoteze sehemu za siri. Ilikuwa shangshang'. Ilikata break mteremkoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mambo ilibaki kidogo itupoteze sehemu za siri. Ilikuwa shangshang'. Ilikata break mteremkoni
Mshana Jr umenikumbusha mbali sana , hii picha inajulikana kama ''struggling girl" lakini baadae ilijulikana kwamba ni mvulana . Ilipigwa na Kevin Carter huko Sudani Kusini ilionekana kwenye Gazeti la New York Times la March 26 1993 . Ni picha ya kusikitisha sana kwani alikuwa mita 50 tu kutoka kwenye kambi ya msaada wa chakula ya umoja wa mataifa. Kevin Carter alipewa zawadi ya Pulitzer Prize for Feature Photography . Lakini alijiuwa miezi minne baada ya kushinda zawadi alijiuwa. Huyu mtoto alikufa kutokana na njaa.
Mmoja ni damu yake.
Kuwalea Hawa moaka wakue Ni balaaView attachment 1070745View attachment 1070747View attachment 1070748
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1]Katika hayo malezi utajifunza mengi kuliko digree ya kibongo
Garden boy siyo mtu mzuri, ameshafanya yake
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Siku hizi watoto wanafuta vingi [emoji24][emoji24][emoji24]vingineUkiitwa kufuta ubao enzi hzoView attachment 1143789
[emoji1][emoji1]Siku hizi watoto wanafuta vingi [emoji24][emoji24][emoji24]vingine