Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

39346157804_9f836a4785_b.jpg
 
Very Sad, kwa hao watoto wawili.

Mmoja aliyezikwa na mtoto mwenzake, na mwingine anayekaribia kifo bila msaada wowote huku ndege akisubiri afe ili amle.

Chanzo cha taabu zao ni Vita, Njaa, Kutelekezwa, Migogoro ya kijamii, Ukabila, Udini, Madaraka nk.

It is Very Sad indeed.
Huyo anaezika sio mtoto ndugu ni MTU mzima sema lishe duni mpaka matiti yamerud ndani na amedumaa pia tuombe AMANI ndugu yangu
 
 
 
 
Kuna picha zenye machungu na zenye kuumiza nafsi
Pia zipo zenye kuleta furaha na afya ya akili
 
Back
Top Bottom