Huyo anaezika sio mtoto ndugu ni MTU mzima sema lishe duni mpaka matiti yamerud ndani na amedumaa pia tuombe AMANI ndugu yanguVery Sad, kwa hao watoto wawili.
Mmoja aliyezikwa na mtoto mwenzake, na mwingine anayekaribia kifo bila msaada wowote huku ndege akisubiri afe ili amle.
Chanzo cha taabu zao ni Vita, Njaa, Kutelekezwa, Migogoro ya kijamii, Ukabila, Udini, Madaraka nk.
It is Very Sad indeed.
Huu mchezo, nilkua namaliza nguo hatareeeh
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatareeeh san[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]