Unamdhalilisha mume wa mwanao mtarajiwa
Nani kakwambia upulize kichongeo changu[emoji23]
Miaka ya tisini Babu yangu na mwanae walienda bukoba kurudi ilikuwa kazi ya kitoboa miguu kutoa funza tu
Nisamehewe kama nakosea. Kwenye hiyo picha ya pili mimi namuona baba yao, au lah! Ni baba wa mtoto aliyepakatwa. Chunguzeni vizuri mtakuja kunishukuru maana inatajwa kuwa hawamjui ndugu yeyote wa mama yao hivyo huyo hawezi kuwa mjomba.Jaman tusaidie hawa watoto ,, mama yao amefariki juzi walikuwa nyumba ya kupanga hawamjui ndugu yeyote na huwajui hata mama yao ni wawapi , mama yao hajazikwa yupo mochwari wamesema hawawezi kuzika bila ndugu labda manispaa ,,watoto wamewahi kuishi dar es salamu majohe ,,walikuwa wanasoma shule ya msingi jaika ,tunasema hivyo sababu hata baba yao hapatikani kwenye namba walivyo nayo ,watt wanaitwa Enjo NA sharoni ,tunatafuta ndugu ili achukue hata hawa watoto tuu Jaman ,,hawana hata MTU wakuwaweka chini sababu walikuwa na mama tuu ,sambazeni Jaman tumpate hata baba yao ,wanasema baba yao ni dereva wa magari makubwa na anaitwa Agustino Fabiano ni mchagaView attachment 1723295View attachment 1723296
Ndio mwenyewe, amepatikana baada ya hiyo picha na jina kusambazwa mitandaoni na mama yao keshazikwa MwanzaNisamehewe kama nakosea. Kwenye hiyo picha ya pili mimi namuona baba yao, au lah! Ni baba wa mtoto aliyepakatwa. Chunguzeni vizuri mtakuja kunishukuru maana inatajwa kuwa hawamjui ndugu yeyote wa mama yao hivyo huyo hawezi kuwa mjomba.
Mungu awajaalie wepesi maana ni mapema sana.
[emoji36][emoji36][emoji36] afadhali. Jamaa apewe tuzo aisee. Ni wachache wangejitokeza baada ya kifo hicho, au alikuwa safarini kikazi?Ndio mwenyewe, amepatikana baada ya hiyo picha na jina kusambazwa mitandaoni na mama yao keshazikwa Mwanza
Tumshukuru Mungu mpaka hapo ilipofika.Haijawekwa wazi
Asante kwa mrejeshoHatimaye walikutana na babayao siku ya mazishi ya mama yaoView attachment 1724329
[emoji23][emoji23][emoji23]