Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

JamiiForums1055599269.jpg
 
Jaman tusaidie hawa watoto ,, mama yao amefariki juzi walikuwa nyumba ya kupanga hawamjui ndugu yeyote na huwajui hata mama yao ni wawapi , mama yao hajazikwa yupo mochwari wamesema hawawezi kuzika bila ndugu labda manispaa ,,watoto wamewahi kuishi dar es salamu majohe ,,walikuwa wanasoma shule ya msingi jaika ,tunasema hivyo sababu hata baba yao hapatikani kwenye namba walivyo nayo ,watt wanaitwa Enjo NA sharoni ,tunatafuta ndugu ili achukue hata hawa watoto tuu Jaman ,,hawana hata MTU wakuwaweka chini sababu walikuwa na mama tuu ,sambazeni Jaman tumpate hata baba yao ,wanasema baba yao ni dereva wa magari makubwa na anaitwa Agustino Fabiano ni mchagaView attachment 1723295
IMG-20210312-WA0033.jpg
 
Jaman tusaidie hawa watoto ,, mama yao amefariki juzi walikuwa nyumba ya kupanga hawamjui ndugu yeyote na huwajui hata mama yao ni wawapi , mama yao hajazikwa yupo mochwari wamesema hawawezi kuzika bila ndugu labda manispaa ,,watoto wamewahi kuishi dar es salamu majohe ,,walikuwa wanasoma shule ya msingi jaika ,tunasema hivyo sababu hata baba yao hapatikani kwenye namba walivyo nayo ,watt wanaitwa Enjo NA sharoni ,tunatafuta ndugu ili achukue hata hawa watoto tuu Jaman ,,hawana hata MTU wakuwaweka chini sababu walikuwa na mama tuu ,sambazeni Jaman tumpate hata baba yao ,wanasema baba yao ni dereva wa magari makubwa na anaitwa Agustino Fabiano ni mchagaView attachment 1723295View attachment 1723296
Nisamehewe kama nakosea. Kwenye hiyo picha ya pili mimi namuona baba yao, au lah! Ni baba wa mtoto aliyepakatwa. Chunguzeni vizuri mtakuja kunishukuru maana inatajwa kuwa hawamjui ndugu yeyote wa mama yao hivyo huyo hawezi kuwa mjomba.

Mungu awajaalie wepesi maana ni mapema sana.
 
Nisamehewe kama nakosea. Kwenye hiyo picha ya pili mimi namuona baba yao, au lah! Ni baba wa mtoto aliyepakatwa. Chunguzeni vizuri mtakuja kunishukuru maana inatajwa kuwa hawamjui ndugu yeyote wa mama yao hivyo huyo hawezi kuwa mjomba.

Mungu awajaalie wepesi maana ni mapema sana.
Ndio mwenyewe, amepatikana baada ya hiyo picha na jina kusambazwa mitandaoni na mama yao keshazikwa Mwanza
 
Back
Top Bottom