Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

IMG_20210604_181914.jpg
 
wapendwa habarini za leo? kwa walioangalia taarifa ya habari jana nadhani wamesikia kuwa kuna kikundi cha watu kinawateka watoto hata kama akiwa anaenda dukani au wakiwa wanacheza mazingira ya nyumbani. Wakishawateka wanawapigia wazazi simu au ndugu na kuwatajia kiasi cha pesa wanachotaka bila hivyo watamuua mtoto yaani wanatoa vitisho huku wakidai pesa, na mpaka sasa watoto waliopotea huko arusha leo siku ya nne bado hawafanikiwa kuwapata japo idadi yao haikutajwa. Ndugu wazazi naombeni tuwe makink na watoto wetu pindi wanapocheza mazingira ya nyumbani na dukani watumeni watu wazima sio watoto pia ikiwezekana ujumbe huu tumeni pia kwenye shule ambazo watoto wanasoma ili walimu nao wajue kinachoendelea kwa sasa so sad. Hali ya maisha imekuwa ngumu hivyo kila mtu anabuni mbinu ya kupata pesa.

Ukiondoka nyumbani asubuhi kama mtoto amefunga shule au hajaanza shule msisitize dada awe makini na watoto kwa wale wenye mageti basi waambie ni akina dada sio kila mgeni anaekuja ni mtu mwema wengine wana nia zao binafsi. Asante sana wazazi tutimize wajibu wetu wa kuwatunza na kuwalea watoto wetu bila kusahau maombi ya familia na Tanzania kwa ujumla.
 
Tunataka kuwa kama Ulaya na Marekani sasa. Ukizubaa tu unakuta mtoto keshaibwa na ma pedophiles na human traffickers. Mungu Atuepushe kwa kweli hapo haishangazi katika mazingira haya tuliyonayo.
 
Back
Top Bottom