Ila wtt wana pirika jamani. Utasema hautofika muda wakalala kama hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Acha tuIla wtt wana pirika jamani. Utasema hautofika muda wakalala kama hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
😂🤣😂🤣 nimekumbuka mbali sana !mimi walikuwa wanafunga dole gumba langu plasta nikawa nafungua naendelea kulinyonya ,wakaona haitoshi wakawa wananipaka pilipili nikawa naosha na maji naendelea kulinyonya mpaka likaota sugu😂 kumbe wangegundua hivi labda wangenikomeshà.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] nimekumbuka mbali sana !mimi walikuwa wanafunga dole gumba langu plasta nikawa nafungua naendelea kulinyonya ,wakaona haitoshi wakawa wananipaka pilipili nikawa naosha na maji naendelea kulinyonya mpaka likaota sugu[emoji23] kumbe wangegundua hivi labda wangenikomeshà.