Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

IMG_20210828_204417.png
 
 
😂🤣😂🤣 nimekumbuka mbali sana !mimi walikuwa wanafunga dole gumba langu plasta nikawa nafungua naendelea kulinyonya ,wakaona haitoshi wakawa wananipaka pilipili nikawa naosha na maji naendelea kulinyonya mpaka likaota sugu😂 kumbe wangegundua hivi labda wangenikomeshà.
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] nimekumbuka mbali sana !mimi walikuwa wanafunga dole gumba langu plasta nikawa nafungua naendelea kulinyonya ,wakaona haitoshi wakawa wananipaka pilipili nikawa naosha na maji naendelea kulinyonya mpaka likaota sugu[emoji23] kumbe wangegundua hivi labda wangenikomeshà.
Hahaha[emoji23]
 
Back
Top Bottom