Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haja kubwa ya kusaidiana baina ya baba na mama kila inapowezekana ili isionekane tunachangia mbegu tu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kuna haja kubwa ya kusaidiana baina ya baba na mama kila inapowezekana ili isionekane tunachangia mbegu tu.
Pengine baba naye yuko kutafuta chakula mahali. Si kweli kwamba wanaume wote tunachangia mbegu tu kwa mujibu wa TX Moshi William (Ali Kishimba). Yeye aliamini tumeumbwa mateso - kuhangaika!
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1966885
Hapana yenu naamini imemwokoa mtoto. Poleni na pongezi kwa kutoa angalizo na tahadhari.Tahadhari,
Kumetokea sontofahamu moja hv nyumbani kwangu leo ambapo gari la mtoto lilipita mapema mno na wakaomba mtoto wa chekechea, wakisema gari yake ambayo inapitaga saa tatu imejaa, tukastuka kidogo na kusema hapana, wale jamaa kuona hilo hata hawakuongea wakaondoka, tunapiga simu shule tunaambiwa hakuna kitu kama hicho. Chukua tahadhari kama mzazi.. ...wameanza tena.Mkoa wa Dar es Salaam. Ikumbukwe pia kuwa school buses zipo nchi nzima na watoto wetu wote wapo vulnerable. Tusambaze ili wazazi tusiwe tunachukua majibu mepesi
Please send this to many Groups as much as possible