Mmmh sasa hapo lazma wazazi wawemakini sana kufatilia kila kitu mtoto anachofanya wameanza na comic watakuja kwenye video za katuni zake sasa
Sema tuna safari ndefu sana juu ya kulipinga hili swala maana unapin movies na series zao unasahau kiwashughirikia wale mashoga waliopo mitaani kwetu mitandaoniNi za kupiga pini kabisa hizi series
Kuwashughulikia hao inataka maandalizi ya kutosha sana.. Maana sisi ni tegemezi wa bwana wakubwa wanaopenda hayo mamboSema tuna safari ndefu sana juu ya kulipinga hili swala maana unapin movies na series zao unasahau kiwashughirikia wale mashoga waliopo mitaani kwetu mitandaoni
Yan hapo hatuna namnaKuwashughulikia hao inataka maandalizi ya kutosha sana.. Maana sisi ni tegemezi wa bwana wakubwa wanaopenda hayo mambo
Hii picha ilishinda kama picha bora ya mwaka kwa Dunia nzima. ila sikumbuki mwaka na inasemekana huyu dogo alichukuliwa na Mzungu na sasa yuko na afya tele. mwenye picha yake plz share..