Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

.
IMG-20180731-WA0075.jpg
 
Nqkubaligi Sana nyuzi za mshana aiceee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji10][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji106][emoji120][emoji115][emoji115]
 
Sana aisee mimi pia nazikubali sana nyuzi zake ila ye mwenyewe simkubali
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]loh baniani mbaya....! Nakuletea nanasi tamu la Msata utabadili tune mwenyewe
 
Hii methali huwa siielewi hebu nifafanulie boss. Nasubiri nanasi lakini bado hamu yangu ya ile kitu ipo

Baniani mbaya kiatu chake dawa.... Humpendi mimi.... Lakini unapenda post zake[emoji23][emoji23]
Mengine inbox [emoji307][emoji39][emoji85]
 
Back
Top Bottom