Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Mungu amfanyie shufaa awe salama huko alipoNdugu zangu, Nasikitika kuwajulisha kuwa binti yangu Site Faith ametoweka nyumbani tulipokuwa tukimuandaa kurejea shuleni. Anasoma St Agustine Tagaste anapotakiwa kuanza Kidato cha nne. Tunadhani hakupenda kuendelea na Shule hiyo akidai they are too strictView attachment 1674396