Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Kabandikiwa
IMG-20210520-WA0243.jpg
 
Please ikiwa unajua yatima katika chuo kikuu chochote cha umma ambaye yuko katika hatihati ya kuacha shule kwa sababu ya shida ya kifedha au mtu yeyote mwenye mazingira magumu sana, mwambie mtu huyo atume barua yake kwa: inspafrica@yahoo.com.
Sambaza ujumbe huu kwa vikundi vingine ili wengine wafaidike

Sent using Jamii Forums mobile app
kwwl kaka
 
Wadau mmeiskia hii habari? Sijui mpk lini mambo haya ya kutesa na kudhulumu watoto.

Huyu mtt wa kiume naskia kaona kama mama wa kambo anamkandamiza na mto dadaake
IMG-20210523-WA0005.jpg
IMG-20210523-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom