Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

FB_IMG_1674136387519.jpg
 
Mbaya sana
 
Mtoto Benedicto Albert (7) mwanafunzi wa Shule ya Msingi binafsi ya Helbart Gappa mkoani Simiyu, amelazwa Hospitali ya Mkoa huo kutokana na kipigo alichopewa na baba yake ambaye ni polisi, kwa kutojua kusoma. Waandishi wa Habari Simiyu wanasema Polisi mkoani humo wako kimya
20230123_071235.jpg
20230123_071230.jpg
 
Adhabu.. Viboko nyayoni
 
What every school should teach:

• How to sell
• How to think
• How to negotiate
• How to face failure
• How to manage time
• How to invest money
• How to handle money
• How to start a business
• How to make passive income
 
 
 
[emoji25][emoji25][emoji24][emoji24][emoji35]
 
1~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake...

2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...

3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili...

4. ~Mkumbushe Mwanao kuwa bila Mungu hatofika popote...

5. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tunakosa Usingizi ili wanaotutegemea wapate kulala Vizuri...

6. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Akiwa baba au mama hata akiumwa hatotamani watoto wajue maana tumaini lao pekee ni yeye...

7. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Kilicho bora kwake hakiwezi kuwa bora kwa watu wengine...

8. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Alipoamka leo kuna Mwenzake amevuta Pumzi ya Mwisho, inabidi amshukuru Mungu kwa hii zawadi ya Siku Nyingine...

9. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Njia yake ikishanyooka Asithubutu kuwanyooshea vidole ambao Njia zao bado zina KONA...

10. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Mtu atakae mpatia Bega wakati analia basi Asimsahau wakati amenyamaza...

11. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Wengine hatuna Mtu wa kumtegemea au Ndugu wa kumlilia Shida, Ukimtoa MUNGU Tunaamini sana kwenye Nguvu, Juhudi na Maarifa Yetu. ZAIDI Aishi Vizuri na Watu ila asijipe umuhimu kwenye maisha ya WATU...

12. ~Mkumbushe Mwanao kuwa anayemuona anacho kuna siku alikua hana kama yeye Msihi aendelee kutafuta...

13. ~Mkumbushe Mwanao kuwa akitanguliza kutafuta Umaarufu kabla ya Pesa basi ku-FAKE kutamtesa...

14. ~Mkumbushe Mwanao kuwa tunaanzaga na tulicho Nacho ili kutafuta ambacho Hatuna...

15. ~Mkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo...

16. ~Mkumbushe mwanao kuwa kuna maamuzi ili yamletee Faida lazima yamuumize kwanza...

17. ~Mkumbushe mwanao kuwa asivuke Bahari Kusalimia Watu Ambao Hawawezi Kuvuka Hata Mfereji ili kumjulia Hali Yake...

18. ~Mkumbushe mwanao kuwa bila Mungu sisi si chochote...

19. ~Mkumbushe mwanao kuwa ajitahidi kuwa na shukrani...

20. ~Mkumbushe mwanao kuwa hatuwezi kuwa sawa maana kuna tunaokula kilicho iva na wengine wanakula chenye ladha...
 
 
Back
Top Bottom